Kwikwi sio hatari sana kwa afya, lakini inaweza kuwa hatari zaidi kwa mu aliyefanyiwa upasuaji kwenye tumbo.
Kwikwi sio hatari sana kwa afya, lakini inaweza kuwa hatari zaidi kwa mu aliyefanyiwa upasuaji kwenye tumbo. Mara nyingi kwikwi huja na kuondoka yenyewe, lakini inaweza kuwa ni hali ya usumbufu ikiindelea kwa muda kadhaa. Kwa watoto kwikwi sio nzuri. Huduma ya kwanza kwa kwikwi unaweza kujifanyia mwenyewe ama kufanyiwa na mtu.
1.Kunywa glasi ya maji kwa haraka sana hakikisha umejaza glasi nzima
2.Mwambie mtu akutishe ama mtishe mtu mwenye kwikwi
3.Ufute ulimi wako nje
4.Ngβata kipande cha limao
5.Kunywa maji kwa kutumia glasi ndefu
6.Tumia chumvi yenye harufu
7.Weka husu ya kijiko cha sukari nyuma ya ulimi wako.
8.Nyonza barafu
9.Kula asali ama sukari
10.Kunywa maji kipolepole
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa alieye ingiwa na uchafu puani (foreign body)
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi tatizo la kupungukiwa damu mwilini, ni ugonjwa unaotokana sana hasa kwa watoto wadogo chini ya miaka mitano ingawa na kwa watu wazima.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi umuhimu wa damu mwilini, Damu ni tisu pekee yenye majimaji ambayo hufanya kazi mbalimbali katika mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za upungufu wa vitamini C mwilini
Soma Zaidi...Kunywa soda ama dawa kwenyechupa zakioo ambayo ina ufa ama mipasuko ni hatari. Ni kwa sababu huwezijuwa huwenda kipande kikaingia mdomoni na umangimeza. Sasa nini ufanye endapo umeshakula?
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi Imani potofu juu ya chanjo kwa watoto na akina Mama, ni baadhi ya Imani waliyonayo watu juu ya chanjo.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa fizi ambapo fizi huweza kuwa na maumivu, kuambukizwa, kuvuja damu kwenye fizi na Vidonda.
Soma Zaidi...Presha ya kupanda hutokea pale kipimo kinaposoma zaidi ya 120/80mm Hg.
Soma Zaidi...