Ijue dawa ya paracetamol katika kutibu maumivu
Post hii inahusu zaidi dawa ya paracetamol katika kutibu maumivu, ni dawa inayosaidia kutibu maumivu ya Kawaida kama vile aspirin.
Fahamu dawa ya paracetamol katika kutibu maumivu.
1.kwa sababu dawa hii utumika katika kutukiza maumivu, Kuna watu ambao hawapaswi kutumia dawa hii kwa sababu mbalimbali,watu hao ni wake wenye matatizo katika ini, matatizo ya Figo na wale waliokunywa pombe hawapaswi kutumia dawa hii kwa sababu haiendani na pombe, pia mtu akiitumia na akatapika ndani ya nusu saa anapaswa kutumia dawa nyingine kama Ile dozi ya kwanza , kwa sababu dawa hiyo inakuwa haijafanya kazi.
2. Matokeo ya dawa hii baada ya kutumia, kwa watumiaji wa dawa hii ya paracetamol wanaweza kupata tatizo la kuharibika kwa ini hasa hasa kwa wale waliokunywa dawa nyingi au wanaotumia dawa hii mara kwa mara, hasa wale akina dada ambao Wana matatizo ya kuumwa tumbo kila mwezi na kila siku wanatumia dawa za Panadol na na wakija kumaliza siku za hedhi wanakuwa wametumia dawa nyingi vipi kwa mwezi watatumia dawa kiasi gani kwa hiyo wako katika hatari ya kupata maambukizi kwenye ini.
3. Dawa hii inawezekana kutumiwa kwa njia ya mdomo kwa sababu ipo kwenye vidonge na pia iko kwenye majimaji ambayo utumiwa na watoto wadogo na sasa hivi zimeletwa paracetamol za kwenye njia ya mishipa nazo pia zinatumika sana kwa watoto na watu wazima wanatumia vidonge.
4. Kwa watumiaji wa dawa kwa njia ya mdomo vidonge hivi huwa na kilogramu sifuri nukta tano mpaka kilogramu moja kwa masaa sita na maximum ni kilogramu nne. Watoto wenye miezi miwili wanatumia milligrams sitini kwa waliomaliza chanjo na yenyewe inatumika kwa masaa sita.
5. Na pia watoto kuanzia miezi mitatu mpaka mwaka mmoja wanatumia milligrams kuanzia sitini mpaka mia moja ishirini, miaka mmoja mpaka miaka mitano utumia milligrams kuanzia mia ishirini mpaka mia mbili hamsini, miaka sita mpaka kumi na mbili utumia miligramu kuanzia mia mbili hamsini mpaka mia tano dozi zote hizi zinabidi kutumiwa kuanzia masaa manne mpaka masaa sita. Pia kwa upande wa syrup inabidi kutikisa kabla ya kutumia.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 ai web app 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
IJUE DAWA YA AMOXLINE (antibiotic) NA MATUMIZI YAKE
Posti hii inahusu zaidi dawa ya amoxline .jinsi inavyofanya kazi mwilini.pamoja na matumizi yake.
Soma Zaidi...Dawa za kutibu fangasi kwenye kucha
Makala hiii inakwenda kukueleza dawa za kutibu fangasi kwenye kucha.
Soma Zaidi...Dawa za mitishamba za kutibu meno
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za mitishamba za kutibu meno
Soma Zaidi...Fahamu dawa za kutibu mafua
Post hii inahusu dawa za kutibu mafua ambazo ni cough seppessants na nasal congestion ni dawa ambazo zimependekezwa kwa ajili ya kutibu mafua.
Soma Zaidi...Fahamu dawa ya kuzuia enzymes zinazotengenezwa na bakteria
Post hii inahusu zaidi dawa ya cloxacillin ambayo Iko kwenye kundi mojawapo la penicillin ambalo uzuia enzymes zinazotengenezwa na bakteria.
Soma Zaidi...