image

Ijue rangi ya mkojo isiyo ya kawaida

Post hii inahusu zaidi rangi isiyo ya kawaida kwenye mkojo, kawaida mkojo huwa na rangi ya kahawia Ila ukiona rangi zifuatazo Kuna shida kwenye mkojo.

Rangi ya mkojo isiyo ya kawaida.

1. Mkojo ambao una damu ndani yake, hii ni rangi ambayo siyo ya kawaida kwenye mkojo, hali hii utokea ambapo mkojo uwa na rangi nyekundu ambayo hapaswi kuwa rangi ya mkojo.

 

2. Mkojo kuwa na damu ndani yake uwa ni ishara ya vitu vifuatavyo kama vili maambukizi kwenye figo au pengine ni kwa sababu ya kichocho maana wadudu wanaoambukiza kichocho wakiwa wengi kwenye kibofu Cha mkojo utafuna sehemu za kibofu Cha mkojo na kusababisha kutoa damu kwenye mkojo na kusababisha madhara mengine makubwa kwenye mwili wa binadamu.

 

3.vile vile hali ya kuwepo kwa damu kwenye mkojo usababishwa na Maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo na pengine maambukizi kwenye urethra kama Kuna maambukizi kwenye sehemu hizo wadudu utafuna sehemu mbalimbali za kwenye kibofu Cha mkojo na kusababisha maambukizi ambayo usababisha mkojo kuwa na damu.

 

 4.pengine rangi ya mkojo uwa nyeusi. Hii ni kwa sababu ya kuwepo kwa sehemu mbalimbali za bile (nyongo), kwa hiyo kama Kuna bile kwenye mkojo, mkojo huwa na rangi nyeusi,kwa hiyo hii si rangi rasmi ya mkojo kwa hiyo kiwango Cha bili pigment kwenye mkojo kinapaswa kuwa Cha kawaida na kufanya  rangi ya mkojo kuwa kawaida kwa hiyo rangi nyeusi siyo rangi ya mkojo.

 

5.Madawa mbalimbali usababisha rangi ya mkojo kubadilika sana , kwa mfano wagonjwa wanaotumia dawa ya rifampicin mkojo wao huwa mwekundu na wakati mwingine huwa wa orange hii ni kwa sababu ya Aina ya dawa kwa hiyo watu wanaotumia madawa ya Aina hii wanapaswa kunywa sana maji ili kufanya mkojo wao uwe na rangi ya kahawia Bali sio rangi  nyekundu au rangi ya orange.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Huduma Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1094


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Simulizi za Hadithi Audio     👉6 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Zijue kazi za ini
Post hii inahusu zaidi kazi za ini, ni kiungo muhimu kwenye mwili ambacho Kina umuhimu sana, bila ini maisha ya mwanadamu yanaweza kuishia pabaya Soma Zaidi...

Utaratibu wa lishe kwa watoto
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa watoto Soma Zaidi...

Huduma ya Kwanza kwa aliyekazwa na misuli
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyekazwa na misuli Soma Zaidi...

Mambo yanayopunguza nguvu za kiume
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu Mambo yanayopunguza nguvu za kiume Soma Zaidi...

Fahamu kuhsu vitamini E na kazi zake mwilini
Je unazijuwa faida za kuwa na vitamini E mwilini mwako.Unahani utapata matatizo yapi ya kiafya endapo utakuwa na upungufu wa vitamini E mwilini? Makala hii ni kwa ajili yako. Soma Zaidi...

Zijue kazi za ovari
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa ovari kwenye mwili wa mwanamke. ovari ni sehemu ambapo mayai ya mwanamke hutunza, kwa hiyo kila mwanamke huwa na ovari ambayo husaidia kutunza mayai. Soma Zaidi...

Njia za kukabiliana na minyoo
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na minyoo Soma Zaidi...

Mzunguko wa mwezi kwa mwanamke
Posti hii inahusu zaidi mzunguko wa mwezi kwa mwanamke, ni mzunguko ambao huchukua siku ishilini na nane kwa kawaida Ila lla ubadilika kulingana na mtu, Ila ngoja tuangalie siku ishilini na nane tu. Soma Zaidi...

Zijue dalili za upungufu wa maji mwilini
Posti hii inaelezea kuhusiana na upungufu wa maji mwilini Soma Zaidi...

viapo
20. Soma Zaidi...

Uvimbe kwenye utandu laini uliopo tumboni (peritonitis)
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Uvimbe au mashambulizi ya bacteria kwenye utando laini uliopo tumboni ambao kitaalamu hujulikana Kama peritonitis. Soma Zaidi...

HUDUMA YA KWANZA KWA MTU ANAYETOKWA NA DAMU YA PUA
Kama mtu anatokwa na damu za pua, basi juwa kuwa anahitaji huduma ya kwanza. Soma Zaidi...