Imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi.
Posti hii inahusu zaidi imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi,ni Imani walizonazo watu wengi kuhusiana na ugonjwa wa Ukimwi.
Imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi.
1. Kupata ugonjwa wa Ukimwi ndio mwisho wa maisha, ni Imani waliyonayo watu wengi na wengine wanakata tamaa wakijua kuwa hawataishi mda mrefu.
2.Tohara kwa wanaume unazuia maambukizi ya Ukimwi, hii si kweli
3.Ukimwi unatibika,hii si kweli Ukimwi bao mpaka saa hauna tiba ya kuponyesha kwa wale wanapenda kwa waganga wanajidanganya na kidai kuwa wameombewa hiyo si kweli.
4.Nikiwa na ugonjwa wa Ukimwi siruhusiwa kubeba mimba, hii si kweli Kuna njia zinazotumika na wakina Mama wengi wenye maambukizi na wamebeba mimba na watoto wao hawana maambukizi.
5. Mtoto hapaswi kunyonya pale anapozaliwa na Mama mwenye maambukizi, hiyo si kweli, mama anapaswa kumnyonyesha mtoto wake akiwa anafuata maagizo ya wataalamu,
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Vifaa vya kutumia wakati wa kusafisha vidonda.
Posti hii inahusu zaidi vifaa vya kutumia wakati wa kusafisha vidonda, ni vifaa muhimu ambavyo mara nyingi kutwa hospitalini.
Soma Zaidi...Dalili za fizi kuvuja damu
Posti hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa fizi ambapo fizi huweza kuwa na maumivu, kuambukizwa, kuvuja damu kwenye fizi na Vidonda.
Soma Zaidi...Ijue rangi ya mkojo isiyo ya kawaida
Post hii inahusu zaidi rangi isiyo ya kawaida kwenye mkojo, kawaida mkojo huwa na rangi ya kahawia Ila ukiona rangi zifuatazo Kuna shida kwenye mkojo.
Soma Zaidi...Choo kisichokuwa cha kawaida
Posti hii inahusu zaidi Aina ya choo kisichokuwa cha kawaida, ni dalili za choo ambacho siyo Cha kawaida, Ina maana ukiona dalili za choo Cha Aina hii ni vizuri kwenda hospitalini Ili kupata matibabu.
Soma Zaidi...Huduma ya Kwanza kwa mwenye kizunguzungu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu mwenye kizunguzungu
Soma Zaidi...Ratiba ya chanjo ya kuzuia Nimonia
Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia Nimonia, hii ni chanjo inayozuia hasa hasa Magonjwa ya mfumo wa hewa kwa hiyo nayo upewa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.
Soma Zaidi...