Imani potofu kuhusu uzazi wa mpango
Post hii inahusu zaidi imani potofu kuhusu uzazi wa mpango, ni imani walizonazo Watu kuhusu matumizi ya uzazi wa mpango.
Imani potofu kuhusu uzazi wa mpango.
1.watu wengi wanaamini juwa njia za uzazi wa mpango ni kwa ajili ya wanawake kwa hiyo wanaume hawapaswi kuingilia ndoa maana unakuta wanawake ndio wanaenda kwenye uzazi wa mpango hali hiyo inamfanya mwanamke peke yake kupanga mwenyewe idadi ya watoto anaiwapenda bila kushirikisha mwanaume
2.Watu wanaamini kubwa uzazi wa mpango inapoteza hamu ya tendo la ndoa na hivyo Watu wengi wameacha kutumia kondomu uingiliana hivyo hivyo hivyo na kusababisha maambukizi ya virus vya ukimwi na Magonjwa ya ngono kwa sababu ya kuwepo kwa imani potofu.
3. Kuna wengine wanadhibiti kusema kwamba uzazi wa mpango usababisha ugumba kitu ambacho si kweli kwa sababu wapo watu wengi wametumia uzazi wa mpango na bado wanaendelea kupata watoto kwa kadiri wanavyotaka.
4. Kwamba kondomu inaweza kupotea kwenye via vya uzazi wa mama, hiki ni kitu ambacho hakiwezejani kwa sababu ukiangalia maumbile ya mama kondomu haiwezi kupotea kwa kiwango hicho .
5.Kuna wengine wanaamini kubwa njia za uzazi wa mpango zinaweza kuleta madhara makubwa na kusababisha vifo kwa akina Mama , ni sawa madhara yapo ila hayawezi kufikia kiasi cha kutoa uhai wa mama.
6.Njia za uzazi wa mpango usababisha kupata mtoto mfu kwa hiyo kupata mtoto mfu sio kwa sababu ya uzazi wa mpango bali ni sababu nyingine nyingi ambazo zinaweza kuchangia hilo sio kweli.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 web hosting 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Njia za kuzuia upungufu wa damu kwa wajawazito
Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia upungufu wa damu kwa wajawazito, ni mojawapo ya njia ambazo utumiwa na wahudumu wa afya ili kuweza kuzuia upungufu wa damu kwa wajawazito.
Soma Zaidi...Uhusiano uliopo kati ya Mama Mjamzito na kibofu cha mkojo.
Posti hii inahusu zaidi uhusiano uliopo kati ya Mama Mjamzito na kibofu cha mkojo.ni mwingiliano unaokuwepo ambao usababisha Mama kukojoa sana wakati wa ujauzito.
Soma Zaidi...Mwana mke wang mwezi wa 8 alipima mimba kwa kipimo cha mkojo ikaleta postive lina mwez wa 8 huo huo mwishoni akaingia period ndo ikawa mwisho had leo hii hajawahi ingia tena na kila mara tumbo linamuuma na akipima anakuta hana mimba
Inaweza kutokea ukapima mimbaikawa ipo, na baada ya wiki kadhaa unapima tena haipo. Hali hii unadhani inaweza kusababishwa na nini?
Soma Zaidi...je kutokwa na maji mengi wakati wa tendo la ndoa inaashilia nini?
Je kutokwa na maji ukeni ambayo hayana harufu na meupe Hadi kuroanisha chupi, na je kutokwa na maji mengi wakati wa tendo la ndoa inaashilia nini?
Soma Zaidi...Tatizo la kutanuka kwa tezi dume.
Posti hii inahusu zaidi tatizo la kutanuka kwa tezi dume, ni tatizo ambalo linawakumba wanaume wengi kwa wakati huu kwa sababu ya kuwepo kwa maaambukizi kwenye tezi ambayo Usababishwa na vitu mbalimbali kama tulivyoona.
Soma Zaidi...Sababu za maumivu ya tumbo wakatu wa tendo la ndoa
Jifunze sababu kuu zinazosababisha kuhisi maumivu makali ya tumbo wakati wa kushiriki tendo la ndoa
Soma Zaidi...