image

Imani potofu kwa mwanamke mwenye mimba

Posti hii inahusu zaidi imani potofu kwa mwanamke mwenye mimba, ni Imani ambazo zimekuwepo kwenye jamii kuhusu wanawake wenye mimba.

Zifuatazo ni baadhi ya Imani potofu kwa mwanamke mwenye mimba.

1. Mwanamke mwenye mimba hapaswi kutumia mayai.hii ni mojawapo ya Imani potofu ambazo ziko kwenye makabila mengi, kwa hiyo mwanamke anaruhusiwa kutumia mayai Ili apate protini ya kutosha kwa ajili yake na mtoto wake.

 

2. Mwanamke mwenye mimba hapaswi kufanya tendo la ndoa, hii si kweli katika hili,kwa hiyo mama anaruhusiwaa kufanya tendo la ndoa mpaka siku ya kujifungua. 

 

3. Mwanamke hapaswi kufanya kazi yoyote pale anapokuwa na mimba, hii si kweli na ni kuendekeza uvivu mkubwa sana, hakuna hasara yoyote kwa mwanamke akifanya kazi akiwa na mimba, labda kama  ana maagizo kutoka kwa daktari.

 

4. Mama hapaswi kusafiri akiwa na mimba.

Kuna makabila mengine uzuia wanawake wenye mimba kusafili, labda kama amebakiza siku chache kujifungua, Ila kama mimba Ina miezi mitatu au miezi ya mwanzoni mama anapaswa kusafili na hakuna tatizo lolote kama mama ni mzima anapaswa kusafiri

 

 





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1667


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

je maumivu ya nyonga na tumbo la chini ni dalili ya mimba?
Nina swali langu:-je maumivu ya nyonga na tumbo la chini ni dalili ya mimba? Soma Zaidi...

Hivi kipimo cha mimba cha mkojo baada ya kutumika Mara 1 ,hakiruhusiw tena kutumika au
Je ni kweli kupima kimoja cha mloka kinaweza kupima mimba zaidi ya mara moka? Soma Zaidi...

Mabadiliko kwenye mfumo wa chakula kwa wajawazito.
Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye mfumo wa chakula kwa wajawazito, ni mabadiliko ambayo utokea kwa wajawazito hasa kwenye mfumo wa chakula. Soma Zaidi...

Madhara ya sindano za kuzuia mimba kwa vijana.
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa sababu ya matumizi ya sindano za kuzuia mimba kwa vijana ambao hawajafikilia mpango wa kuanza kujifungua watoto. Soma Zaidi...

Njia za kugundua kama mtoto amevunjika baada ya kuzaliwa
Post hii inahusu zaidi njia mbalimbali ambazo mtoa huduma anaweza kuzitumia kuangalia kama mtoto amevunjika baada ya kuzaliwa. Soma Zaidi...

Nataka nijue siku ya kubeba mimba mwanamke
Soma Zaidi...

Mambo yanayopelekea ugumba.
Post huu inahusu zaidi mambo yanayopelekea ugumba kwa wanaume, ni mambo ambayo uchangia au upelekea mwanaume kukosa uzazi. Soma Zaidi...

Sababu za maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa
Utajifunza sababua zinazopelekea kuhisi maumivu makali ya tumbo baada ya kumaliza tendo la ndoa Soma Zaidi...

Dalili za tezi dume na sababu za kutokea kwa tezi dume.
dalili za ugonjwa wa tezi dume, na sababu za kutokea kwa tezi dume, maana ya tezi dume na athari zake Soma Zaidi...

Utaratibu kwa wajawazito na wanaonyonshesha wakiwa na virusi vya ukimwi na ukimwi
Je kuna madhara kwa mwenye virusi vya ukimwi kunyonyesha ama kubeba mimba, na nini afyanye kama ameshabeba mimba ama kama ananyonyesha Soma Zaidi...

Mambo ambayo mama anapaswa kujua akiwa mjamzito
Posti hii inahusu zaidi mambo anyopaswa kujua akiwa mjamzito. Ni mambo muhimu ya kuzingatia kwa mama akiwa mjamzito. Soma Zaidi...

Mambo yanayopunguza nguvu za kiume
Posti hii inaelezea kuhusiana na nguvu za kiume zinavyopungua na Ni Mambo gani yanayofanya zipungue Soma Zaidi...