picha

JAVASCRIPT - somo la 18: Jinsi ya kutumia switch case kwenye javascript

Kwa kutumia mfano huu na iliyotangulia unaweza kuweka masharti kadiri uwezavyo. Tukutane somo linalofuata tutajifunza kuhusu switch statement.

Switch statement haina utifauti na if else ama kiweka if. Chukulia mfano huu hapa

Unatakiwa uandae program ya dictionary, yenyewe utaandika neno kwa kiswahili kisha utaletewa kiongereza chake

 

Ili kutengeneza program hii tutakwendabkutumia maneno yafuatayo kama mfano

Father - baba

Mother - mama

Sister - dada

Uncle - mjomba

Aunt - shangazi

Nephew or cousin - mpwa 

Cousin - binamu

Brother - kaka


 

Sasa program hii tutaanza kuitengeneza kwa kutumia if tupu, kama ambavyo tuliona katika somo lililotangaulia. Pia unaweza kutumia else if kama tulivyojifunza.

 

<html>

  <head>

    <title>Mafunzo ya javascript</title>

  </head>

  <body>

<script>

  let neno = prompt("weka neno la kiswahili kwa herufi ndogo");

if(neno == 'baba'){

    document.write("<b style='color:blue'>Father</b>");

  }

  if(neno == 'mama'){

    document.write("<b style='color:blue'>mother</b>");

  }

  if(neno == 'dada'){

    document.write("<b style='color:blue'>sister</b>");

  }

  if(neno == 'mjomba'){

    document.write("<b style='color:blue'>uncle</b>");

  }

  if(neno == 'shangazi'){

    document.write("<b style='color:blue'>aunt</b>");

  }

  if(neno == 'mpwa'){

    document.write("<b style='color:blue'>nephew or cousin</b>");

  }

  if(neno == 'kaka'){

    document.write("<b style='color:blue'>brother</b>");

  }

</script>

  </body>

</html>

 

Hapo utaona kuna changamoto kuu 2

  1. Kwanza kila wakati tumerudia rudia kuweka condition if(neno==)
  2. Pili hata ukitumia else ili kuhusisha manono yasio na mfanano haitakaa sawa. Maana result ya else itakuwa inajirudia

 

Sasa ili tuweze kupambana na hali hii ndipo tutatumia switch ambapo itaturahisishia kuthibiti changamoto hizo.

 

Jinsi ya kutengeneza switch

Utaanza na neno switch likifuatiwa na mabano switch () ndani ya mabano utaweka statement katika hii statement utaweka kile ambacho unakwenda kukitest. Inaweza kuwa variable ama chochote kila kitakachokuwepo kwenye statement hio. switch(statement) baada ya hapo itafuatiwa mabano{} kisha ndipo tutaanza kutest condition ambayo tutaiita value kwa kutumia neno case 'condition' utamalizia na nukta pacha : baada ya hapo utafuata kuandika statement yako yaani nini kitokee kwenye hiyo case.

 

switch(statement){

case value 1:

statement

 

case value 2:

statement

 

case value 3:

statement

 

}

 

Sasa wacha tuone mfano wetu wa kwanza kwa kutumia switch

<html>

  <head>

    <title>Mafunzo ya javascript</title>

  </head>

  <body>

<script>

  let neno = prompt("weka neno la kiswahili kwa herufi ndogo");

  switch(neno){

    case'baba':

      document.write("<h1>Father<h1>")

      case'mama':

      document.write("<h1>Mother<h1>")

      case'dada':

      document.write("<h1>Sister<h1>")

      case'kaka':

      document.write("<h1>Brother<h1>")

      case'mjomba':

      document.write("<h1>Uncle<h1>")

      case'shangazi':

      document.write("<h1>Aunt<h1>")

      case'mpwa':

      document.write("<h1>Nephew or niece<h1>")

  }

</script>

  </body>

</html>

Saaa hapo utaona kuna changamoto mbili kwenye hizo code:-

Kwanza code baada ya kuonyesha matokeo ya inputi zinaendelea kufanya kazi. Utaona hapo nimeweka neno baba sasa ikaniletea jibu father kisha ikaendelea kukaliza na list iliyobaki kutokea kwa baba.

 

Ili kutatua changamoto hii tutatumia break keyword yaani baada ya matokeo code zinatakiwa zi stop kufanya kazi.

 

Pili hapo hatukuweza kuthibiti endapo mtu ataandika ambacho hakina mfanano. Kwa mfano hapo uliandika mbuzi haitaleta majibu yeyote. 

 

Ili kutatua tatizo hili tutatumia default keyword ambayo mi sawa na else kama tulivyoona somo lililotangalia. Hivyo basi kanuni nzima itakuwa hivi. Hii default itafanyabkazi endapo mtu ataandika kitu chochote ambacho hakipo kwenye list. 

 

switch(statement){

case value 1:

statement

Break; 

 

case value 2:

statement

break; 

 

case value 3:

statement

break; 

 

}


 

<html>

  <head>

    <title>Mafunzo ya javascript</title>

  </head>

  <body>

<script>

  let neno = prompt("weka neno la kiswahili kwa herufi ndogo");

  switch(neno){

    case'baba':

      document.write("<h1>Father<h1>")

      break;

      

      case'mama':

      document.write("<h1>Mother<h1>")

      break;

      

      case'dada':

      document.write("<h1>Sister<h1>")

      break;

      

      case'kaka':

&n...

Ingia sasa ili uweze kusoma makala hii yote.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: JavaScript Main: Masomo File: Download PDF Views 1022

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 web hosting     👉3 Dua za Mitume na Manabii     👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉5 kitabu cha Simulizi     👉6 Bongolite - Game zone - Play free game    

Post zinazofanana:

JAVASCRIPT - somo la 12: Function zinazotumika kwenye namba

Katika somo hili utajifunz kuhusu baadhi ya function ambazo hutumika kwenye namba

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 19: Jinsi ya kutumia loop kwenye javascript

Katika somo hilibtutakwenda kujifunza kuhusu loop. Katika programming tunaposema loop tunamaanisha ile hali ya program ku excute code zaidi na zaidi. Tofauti na kurudia rudia kuandika statement moja kwa ajili ya kupata matokeoa hayohayo basi unapotumia lo

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 23: Jinsi ya kutengeneza calculator yaani kikokotoo cha hesabu kwa kutumia javascript

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza kutumia javascript kutengeneza kikokotoo cha hesabu yaani calculator

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 13: Function zinazofanya kazi kwenye array.

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array pamoja na method zinazohusiana na array. Pia nitakujuza tena kuhusu array ni nini. Utajifunza pia jinsi ya kutengeneza array.

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 20 Jinsi ya kutumia foOfloop kwenye javascript

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia forOfLoop. Hii ni aina ya loop ambayo yenyewe inahusisha item zote kwenye array.

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 10: Jinsi ya kuandika object na matumizi yake kwenye javascript

Ksomo hili litakwenda kukufundisha kuhusu object kwenye javascript, kazi zake na sheria zake katika kuiandika.

Soma Zaidi...