JAVASCRIPT - somo la 19: Jinsi ya kutumia loop kwenye javascript
Katika somo hilibtutakwenda kujifunza kuhusu loop. Katika programming tunaposema loop tunamaanisha ile hali ya program ku excute code zaidi na zaidi. Tofauti na kurudia rudia kuandika statement moja kwa ajili ya kupata matokeoa hayohayo basi unapotumia lo
Katika somo hili na linalofuata tutakwenda kutumia habari hii.
Umepewa kazi ya kuandika orodha ya maneno ya kiingereza na tafsiri yake kwa ajili ya kuandaa program ya kamusi. Sasa unatakiwa uonyeshe orodha ya maneno ambayo tayari umekusanya.
Angalia mfano hu:
Kwa kutumia safunzo yaliokwisha tangulia huko wali, nitaweka orodha ya maneno y bkiingereza kwenye array kisha nita display orodha hiyo kwa kuchanganya na maneno ya kiswahili.
Sasa tuendelee na Somo letu. Hebu tuone jinsi ya kuonyesha orodha yetu kulingana na kile ambacho tulisha jifunza.
<html>
<head>
<title>Mafunzo ya javascript</title>
</head>
<body>
<script>
var words = ['mama - mother', 'dada - sister', 'kakav- brother', 'mjomb - uncle'];
var show = "";
show = show+ words[0]+'<br>';
show = show+ words[1]+'<br>';
show = show+ words[2]+'<br>';
show = show+ words[3]+'<br>';
document.write(show);
</script>
</body>
</html>
Sasa hapo utaona tumerudia rudia statement moja ya ku display neno la kiingereza nankiswahili. Sasa kwa kutumia loop jatutakuwa tena na haja ya kurudia kuandika statement moja na badala yake tutaachia program irudie tena ku excute code.
Aina za loop
Kuan aina kuu 2 za loop ambazo ni
- for loop
- for Of loop
- while loop
Poa kuna mgawanyiko zaidi tutakwenda kuuona tutakwpokuwa tunajifunza zaidi. Katika somo hili tutakwenda kujifunza luhusu for loop tu.
For loop;
Katika loop hii code zona excute kwa idadi maalumu unayoitaka. Kwa mfano list yetu hapo ina item 4, hivyo code zetu zita run mara 4. Unaweza kutumia 4 ama kutumia object length tulishasoma kwenye array jinsi ya kuoata array length. Hii itakupa idadi ya kuwa xode zitavexcute mara ngapi. Tunatumia hii ili kuhakikisha ina excute code kwa idadi maalumu ambayo inafanana sawasawa na item.
Lakini kama utaweka 4vits okey unaweza kuweka lia zaidi ya nne ama chini ya nne.
Kanuni ya kuandika for loop
Kwa nza utaanza na neno for likifuatiwa na mabano () ndni ha mabano kutakaa condition. Kisha itafuataiwa na na mabano {} ambapo ndani yake kutakaa statement ambayo itakuwa excuted kulingana na idani iliyowekwa.
Jinsi ya kuandika condition hapa kina utofauti mkubwa na tulivyojifunza huko awali. Katika for loop condition omegawanyika katika sehemu kuu tatu ambazo ni:-
- Initial expression yaani mwanzo wa loop. Hapa tutaangalia je loop yako unatakanianzie kwenye item ya ngapi.
- condition Hapa sasa ndipo utaweka masharti yako, ambayo ikiwa yatafikiwa code zita excute na yasipofikiwa code zita stop
- Increment expression sehemu hii ndio ambayo inaangalia je code zinatakiwa kubexcuye mara ngapi. Lengo hili linafikiwa kwa kutumia increment (++)
Jambo la kuzingatia ni kutenganisha hizo sehemu tatu kwa nukta oacha semicolon ambazo ni (;). Kanuni hii itaandikwa hivi:-
for(initial expression; condition; increment){
statement
}
Katika initial expression utatumia variable kwa ajili ya kuhifadhi namba ambayo loop itaanzia. for(var i = 0;
Katika condition expression utatumia variable uliotengeneza pamoja na kuweka limit ya mara ngapi code zi excute. Unaweza kutumia i < 4; ama inaweza kuwa hivi i < array.length; neno array hapo nimelitumia kumaanisha object ya array.
Katika increment hapo tutatumia variable yetu inayobeba mwanzo wa loop kisha tutaiwekea increment (++). Mfano i++
Code nzima
for(var i =0; i<array.length; i++){
statement.
}
Angalia code hizi ambazo zinafanya kazi sawa na mfano wa hapo juu mwanzoni kabisa.
<html>
<head>
<title>Mafunzo ya javascript</title>
</head>
<body>
<script>
var words = ['mama - mother', 'dada - sister', 'kaka- brother', 'mjomb - uncle'];
var show = "";
for(var i =0; i < words.length; i++) {
show = show + words[i] + "<br>";
}
document.write(show);
</script>
</body>
</html>
Sasa hapo utaona tumetumia array length kwa a...
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
JAVASCRIPT - somo la 13: Function zinazofanya kazi kwenye array.
Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array pamoja na method zinazohusiana na array. Pia nitakujuza tena kuhusu array ni nini. Utajifunza pia jinsi ya kutengeneza array.
Soma Zaidi...JAVASCRIPT - somo la 14: Jifunze kuhusu event kwenye javascript
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu javascript events. Event ni neno la Kiingereza lenye maana tukio wingi wake events kumaanisha matukio. Natumia ni kila ambacho kinatokea kwenye javascript.
Soma Zaidi...JAVASCRIPT - somo la 23: Jinsi ya kutengeneza calculator yaani kikokotoo cha hesabu kwa kutumia javascript
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza kutumia javascript kutengeneza kikokotoo cha hesabu yaani calculator
Soma Zaidi...Game 3: Mchezo wa kufikiria namba kwa kutumia javascript
Hii ni game ambayo utafikiria namba, ambayo inatakiwa iwe sawa na namba ambayo game imeiweka.
Soma Zaidi...JAVASCRIPT - somo la 5: Jinsi ya kupangilia maandishi wakati wa ku output kwenye javascript
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kupangilia muonekano wa maandishi (text) wakati wa ku out put matokeo ya code
Soma Zaidi...JAVASCRIPT - somo la 21: Jinsi ya kutumia while loop na do while loop
Katika somo hili tutakwenda kujifunza khusu while loop na do while loop.
Soma Zaidi...