picha

JAVASCRIPT - somo la 24: Jinsi ya kutengeneza online keyboard

Katika project hii utakwenda kufunza jinsi utakavyoweza kutengeneza keyboard ya online kwa kutumia javascript

PROJECT YA KUTENGENEZA ONLINE KEYBOARD:

Kama umeshawahi kuona katika huduma za kibenk unaweza kukuta kuwa kuna online keyboard kwa ajili ya kulinda usalama endapo kuna program ambayo inachukuwa taarifa za keyboard kwenye kompyuta ama simu ya mtu. 

 

Program hii tutaitengenza kutokana na program ya calculator ambayo tulishaiona kwenye masomo yaliotangulia.


 

<html>

<head>

 <title>Mafunzo ya javascript</title>

 <style>

   .button {

     font-size: 24px;

     padding: 10px;

     margin: 5px;

     border-radius: 5px;

     background-color: #f1f1f1;

     color: #333;

     border: none;

     cursor: pointer;

   }

   .button2 {

     font-size: 24px;

     padding: 10px;

     margin: 5px;

     border-radius: 5px;

     background-color: #0bcaec;

     color: rgb(0, 0, 0);

     border: none;

     cursor: pointer;

   }

 

   button:hover {

     background-color: #ddd;

   }

 

   #input {

     font-size: 24px;

     padding: 10px;

     margin: 5px;

     border-radius: 5px;

     border: 1px solid #ddd;

   }

 </style>

</head>

</html>

<body>

<textarea id="input"></textarea>

<br />

<button class="button"  onclick="addChar('q')">q</button>

<button class="button"  onclick="addChar('w')">w</button>

<button class="button"  onclick="addChar('e')">e</button>

<button class="button"  onclick="addChar('r')">r</button>

<button class="button"  onclick="addChar('t')">t</button>

<button class="button"  onclick="addChar('y')">y</button>

<button class="button"  onclick="addChar('u')">u</button>

<button class="button"  onclick="addChar('i')">i</button>

<button class="button"  onclick="addChar('o')">o</button>

<button class="button"  onclick="addChar('p')">p</button>

<br />

<button class="button"  onclick="addChar('a')">a</button>

<button class="button"  onc...

Ingia sasa ili uweze kusoma makala hii yote.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: JavaScript Main: Project File: Download PDF Views 1601

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 web hosting     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 ai web app    

Post zinazofanana:

JAVASCRIPT - somo la 22: Jinsi ya ku set time na tarehe

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu ku set time. Yaani tutaweka muda ambao code zinatakiwa ndio zilete matokeo.

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 10: Jinsi ya kuandika object na matumizi yake kwenye javascript

Ksomo hili litakwenda kukufundisha kuhusu object kwenye javascript, kazi zake na sheria zake katika kuiandika.

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 15: Jinsi ya kukusanya user input

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu user input. Somo hili litaangalia html form na attribute zake na jinsi zinavyohusiana na user input. Mwisho wa somo hili utaweza kutengeneza simple Calculator kwa kutumia javascript.

Soma Zaidi...
Game 2: Jinsi ya kutengeneza tic toc game ya single player kwa kutumia javascript, html na css

Katika post hii utakwenda kujifunza kutengeneza game ya tic toc ya mchezaji mmoja na kompyuta yaani single player

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 11: function maalumu zinazotumika kwenye string yaani string method

Katika somo hili utakwenda kujifunza baadhi ya function maaumu zinazotumika kwenye string yaani string method.

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 23: Jinsi ya kutengeneza calculator yaani kikokotoo cha hesabu kwa kutumia javascript

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza kutumia javascript kutengeneza kikokotoo cha hesabu yaani calculator

Soma Zaidi...