picha

JAVASCRIPT - somo la 6: Jinsi ya kufanya mahesabu kwenye javascript

Katika somo hili utajifunza kuhusu matendo ya hesabu ambayo ni kugawanya, kujumlisha, kuzidisha na kutoa

MATENDO YA KIHESABU

Somo hili litakwenda kukujulisha namna ya kutumia matendo ya kihesabu katika javascript. matndo ya kihesabu ni muhimu sana katika kutengeneza program za kikompyuta. 

 

Katika program za kihesabu alama za matendo ya kihesabu huitwa operator na namba ambazo hutumika kwenye hesabu huitwa operand.

 

Matendo ya kihesabu (operator) ni kama:-

  1. Kujumlisha +

  2. kutoa -

  3. kigawanya /

  4. kuzidisha *

  5. modulus % hii hutumika kwenye kugawanya na kubakia

  6. increment ++

  7. decrement –

 

1. Kujumslisha

Kama tulivyoona hapo juu kujumlisha namba tunatumia alama ya jumlisha ambayo ni +. 

 

Mfano 1

<script>

   var a = 4

   var b = 5

   var c = a + b

  document.write(c)

</script>

 

hii itatupa matokeo ya 9

 

Pia unaweza kutumia alama hii ya kujumlisha kuunganisha string zaidi ya moja. String ni mkusanyiko wa namba na herufi ama herufi tupu. Angalia mfano wa hapo chini

 

Mfano 2

<script>

   var a = 'juma';

   var b = 'Ali'

   var c = a + b

  document.write(c)

</script>

 

hii itakupa matokeao haya

Utaona neno juma na Ali yameungana kutengeneza jumaAli. Katika hali ya kawaida ya kiuandishi yanatakiwa yasomeke juma Ali kwa kuacha nafasi katikati yao. katika javascript ktatuwa changamoto hii tutatumia alama ya kujumlisha +” “ + angalia mfano hapo chini:-

 

Mfano 3

<script>

   var a = 'juma';

   var b = 'Ali'

   var c = a +" "+ b

  document.write(c)

</script>

 

Hii itatupa matokeo haya

Pia unaweza kujumlisha string na namba. Angalia mfano hapo chini

 

Mfano 4

<script>

   var a = 'bongo';

   var b = 5;

   var c = a  + b;

  document.write(c)

</script>

 

Hi itatupa matokeo haya:

Mfano 5

<script>

   var a = '7';

   var b = 5;

   var c = a  - b;

  document.write('Jibu ni' + " "+ c)

</script>

 

Hii itakupa matokeo haya

Katika mfano huo hapo juu jibu 75 yaa ni 7 na 5 na sio namba sabini na tano. Ni kwa sababu namba 7 imetumika kama string na ndio maana utaiona ipo ndani ya alama hizi '7'   

 

2. Kutoa

Ili kutoa namba tunatumia alama ya - kama inavyotumika kwenye hesabu. Utaweza kutoa namba kubwa kutoa ndogo, ama nndogo kutoa kubwa na jibu litakuja k...

Ingia sasa ili uweze kusoma makala hii yote.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: JavaScript Main: Masomo File: Download PDF Views 1183

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 ai web app     👉5 web hosting     👉6 kitabu cha Simulizi    

Post zinazofanana:

JAVASCRIPT - somo la 17: condition statement za if else, else if kwenye javascript

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu condition statemant. Darasa hili ni moja katika madarasa muhimu programming. Katika somo hili tutajifunza kwa vitendo zaidi. Tutatumia mifano ya somo lililo tangulia.

Soma Zaidi...
Offline data handle kwa kutumia javascript

Katika somo hili tutaenda kujifunza namna ya kuhifadhi taarifa za mtumiaji endapo mtandao utakuwa haupo ()

Soma Zaidi...
Game 3: Mchezo wa kufikiria namba kwa kutumia javascript

Hii ni game ambayo utafikiria namba, ambayo inatakiwa iwe sawa na namba ambayo game imeiweka.

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 10: Jinsi ya kuandika object na matumizi yake kwenye javascript

Ksomo hili litakwenda kukufundisha kuhusu object kwenye javascript, kazi zake na sheria zake katika kuiandika.

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 11: function maalumu zinazotumika kwenye string yaani string method

Katika somo hili utakwenda kujifunza baadhi ya function maaumu zinazotumika kwenye string yaani string method.

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 15: Jinsi ya kukusanya user input

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu user input. Somo hili litaangalia html form na attribute zake na jinsi zinavyohusiana na user input. Mwisho wa somo hili utaweza kutengeneza simple Calculator kwa kutumia javascript.

Soma Zaidi...