picha

JAVASCRIPT - somo la 7: Jinsi ya kutumia logical operator kwenye javascript

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia logical operator kwenye javascript. Katika somo hili tutakwenda kutumia mahesabu.

Katika somo hili tutajifunza ulinganivu wa thamani (value) kwa kutumia logic operator. Somo hili ni muhiimu sana kwa wanaotarajia kujikita zaidi kwenye matumizi ya javascript.

 

Kwa wale wanaokumbuka hesabu hapa tutaangalia matumizi ya alama zifuatazo kwenye javascript. Alama hizo ni kama zinazoonyehswa hapo chini.

 

Kwa wale ambao tumepita shule zamani alama hizo zinamaanisha hivi

Pia kuna hizi

 

Hebu tuone maana yake kila moja wapo. Pia tutajifunza zaidi kila tutakavyokwenda mbele ya somo hili. kwa sasa tutajifunza kwa ufupi maana zake tu.

 

Tutatumia mifano kama ifuatavyo:-

  1. alama ya ==

Tunajuwa kuwa 4 sio sawa na 5. Sasa kama kweli tunataka itupe jibu la false. code hizo hapo chini zinamaanisha 4 ni sawa sawa na 5, ambapo ni uwongo yaani false. 

<script>

   let x = 4;

   let b = 5;

 

   //alama ya sawa sawa ==

   document.write( x == b)

</script>

 

Kwa kuwa 100 ni sawa sawa na 100 tunahitaji tuone majibu kuwa true yaani kweli

<script>

   let x = 100;

   let b = 100;

 

   //alama ya sawa sawa ==

   document.write( x == b)

</script>

 

 

  1. Alama ya ===

Katika mfano hapo chini 5 == ‘5’ hii ni true kwa kuwa thamani zao wote ni sawa ni 5.

<script>

   //alama ya sawa sawa ==

   document.write( 5 == '5')

</script>

Lakini 5===’5’ itatupa majibu false kwa sababu 5 ya kwanza ni namba na 5 ya pili ni string kwa sababu ipo ndani ya alama za string. Hivyo thamani zao ni saswa lakini aina zao sio sawa moja ni namba na nyingine ni string.

<script>

   //alama ya sawa sawa ==

   document.write( 5 === '5')

</script>

lakini hii 5===5 itatupa majibu ya true kwa sababu thamani zao ni sawa na zote ni data za aina moja yaani namba.

<script>

   //alama ya sawa sawa ==

   document.write( 5 === 5)

</script>

 

  1. Alama ya != (sio sawa na)

kwa kuwa 5 sio sawa na 2 basi code hii tunatarajia itupe jibu la true 5 !=2 kwa sababu alama != inamaanisha sio sawa na. Yaani 5!=2 ina maana 5 sio sawa na 2

<script>

   //alama ya !=

   document.write( 5 != 2)

</script>

Au 2 != 2 hii itatupa jibu false yaani sio kweli kwa sababu 2 ni sawa na 2.

<script>

   //alama ya !=

   document.write( 2 != 2)

</script>

  1. Alama ya !== (sio sawa kwa thamani au sio sawa kwa aina)

3 na 2 sio sawa kwa thamani hivyo 3 !== 2 itatupa jibu la true

<script>

   //alama ya !==

   document.write( 2 !== 3)

</script>

Lakini 2 !== ‘2’ hii pia itatupa jibu la true kwa sababu 2 sio sawa na ‘2’ kwani mbili ya kwanza ni namba na mbili ya pili ni shtring, ndio maana ipo kwenye alama za semi. 

<script>

   //alama ya !==

   document.write( 2 !== '2')

</script>

 

  1. Alama ya > (kubwa kuliko)

Nmambari 5 ni kubwa kuliko nambari 4 hivyo 5 > 4 ni swa hivyoitatupa jibu la true kwa kuwa alama > inamanisha kubwa kuliko

 <script>

   //alama ya >

   document.write( 5 >...

Ingia sasa ili uweze kusoma makala hii yote.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: JavaScript Main: Masomo File: Download PDF Views 967

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 ai web app     👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉3 web hosting     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 kitabu cha Simulizi     👉6 Kitau cha Fiqh    

Post zinazofanana:

JAVASCRIPT - somo la 22: Jinsi ya ku set time na tarehe

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu ku set time. Yaani tutaweka muda ambao code zinatakiwa ndio zilete matokeo.

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 15: Jinsi ya kukusanya user input

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu user input. Somo hili litaangalia html form na attribute zake na jinsi zinavyohusiana na user input. Mwisho wa somo hili utaweza kutengeneza simple Calculator kwa kutumia javascript.

Soma Zaidi...
Offline data handle kwa kutumia javascript

Katika somo hili tutaenda kujifunza namna ya kuhifadhi taarifa za mtumiaji endapo mtandao utakuwa haupo ()

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 24: Jinsi ya kutengeneza online keyboard

Katika project hii utakwenda kufunza jinsi utakavyoweza kutengeneza keyboard ya online kwa kutumia javascript

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 18: Jinsi ya kutumia switch case kwenye javascript

Kwa kutumia mfano huu na iliyotangulia unaweza kuweka masharti kadiri uwezavyo. Tukutane somo linalofuata tutajifunza kuhusu switch statement.

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 10: Jinsi ya kuandika object na matumizi yake kwenye javascript

Ksomo hili litakwenda kukufundisha kuhusu object kwenye javascript, kazi zake na sheria zake katika kuiandika.

Soma Zaidi...