Je umeshawaho kujiuliza maswali mengi kihusu fangasi?. Huyu hapa ni mmoja katika waulizaji waliopata kuuliza rundo la maswali haya. Soma post hii kuona nini ameuliza
Swali:
👉Fungus ikiw kali inaxababixh dam kutok uken
Jibu:
âœï¸Kawaida fangasi hasababishi kutokwa na damu. Ila ndio endapo watasababisha michubuko yes damu inawwza kutoka.
âœï¸Mfano ni fangasi wa kwenye uke, ama kwenye mapimbu (korodani). Hawa wanaweza kusababisha majeraha madogo kwenye ngazi ama wakati wa kujikuna.
Swali:
👉Hvy fungus ikiixha dam haita toka na mzunguko wng wa hedhi utaendelea kama kawaida
Jibu:
âœï¸Endapo fangasi imeshambulia sana kwenye uke hata kuwa PID na kusababisha mvurugiko wa hedhi, hali hii inahitaji matibabu kwa ulazima.
âœï¸Punde fangasi itakapotibiwa mzunguko wa hedhi utarudi kawaida. Na hata kama kulikuwa na michubuko iliyosababisha damu itakoma.
Swali:
👉Na fungus uwa na madhara gan ikiwepo mda mref ktk mwili.
Jibu:
âœï¸Si kawaida kwa fangasi kusababisha kifo, ila ni haki ambayo inasumbuwa sana. Hizi ni chache tu ya athari zinazoweza kutokea: -
1. Kuharibu mzunguko wa hedhi
2. Maumivu, miwasho na harufu ukeni na kutokwa namajimaji zaidi.
3. Kama hawatatibiwa wanaweza kuathiri kizazi
Swali:
👉Ni nin nifnye ili niepukane na maambukiz ya fungus
Jibu:
âœï¸ Unaweza kuepukana na fangasi kwa kuchukuwa tahadhari juu ya namna ambavyo unaishi. Kwa mfano: -
1. Pata matibabu hakikisha umepata matibabu kutoka kituo cha afya ama kama ni duka la dawa iwe imepewa na daktari.
2. Hakikisha sehemu za siri zinabakia kavu muda mwingi, kwa kuvaa nguo zisizobana, kama joto kali punguza nguo kama upo faragha unaweza bakiwa na chache tu
3. Kama huwa unavaliana na mtu, ama unashea taulo, au sabuni wacha kabisa
4. Hakikisha mpenzi wako unamuamini na anakuamini, yaani kila mmoja asiwe namichepuko.
5. Usitumie kemikali kali ama sabuni Kali kusafisha uke usitumie kusafishaji chochite maalumu cha uke. Vyema kutumia zanuba za kawaida.
6. Hakikisha pedi unazitumia ni zaoamba na zinabakia kuwakavu, kama iimechafuka bariki nyingine kila baada ya muda kulingana na maelezo yake.
Swali:
👉Kupata miwaxho kwenye kitov ni ugonjwa na unaxababishwa na nini?
Jibu:
âœï¸Huwenda ni fangasi, hakikisha unatumia dawa za kutibu tatizo.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Mshtuko wa moyo hutokea wakati mtiririko wa damu kwa moyo umezuiwa, mara nyingi kwa mkusanyiko wa mafuta, cholesterol na vitu vingine, ambayo huunda plaque katika mishipa inayolisha moyo (mishipa ya moyo). Mtiririko wa damu ulioingiliwa unaweza kuharibu
Soma Zaidi...Kisukari cha Aina ya 1, ambacho wakati mmoja kilijulikana kama Kisukari cha changa au Kisukari kitegemeacho insulini, ni hali sugu ambapo kongosho hutoa insulini kidogo au haitoi kabisa, homoni inayohitajika kuruhusu sukari (glucose) iingie kwenye se
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu presha ya kushuka na matibabu yake
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha matatizo yanayosababisha saratani ya mapafu .
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu ugonjwa wa kiseyeye na dalili zake
Soma Zaidi...Katika makala hii utajifunza kuhusu kifua kikuu, dalili zake, sababu zake, chanzo chake na mambo hatari kwa mgonjwa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye uume, maambukizi hata utokea kwenye kichwa Cha uume kwa kitaalamu huitwa Balanitis, zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa ugonjwa huu.
Soma Zaidi...Swali hili limeulizwa na mdau mmoja. Kuwa endapo mtu atafanya ngono zembe na akapata virusi je ataweza kuambukiza.
Soma Zaidi...UGONJWA WA GONORIA NA DALILI ZAKE (GONORRHEA)Gonoria (gonorrhea) ni katika maradhi yanayoambukizwa kwa njia ya ngono.
Soma Zaidi...