Je inakuaje kama umempiga denda mtu mweny ukimwi ambaye anatumia daw za ARVs na una michubuko midogo mdomon ya kuungua na chai
Bila shaka umeshawahi kujiuliza kuwa je mate yanaambukiza HIV ama laa. Na kama hayaambukizi ni kwa sababu gani. Sio mate tu pia kuhusu jasho kama pia linaweza kuambukiza ukimwi ama HIV. Wapo pia wanajiuliza kuhusu mkojo kama unaweza kuambukizwa HIV. Kar
Swali:
Je inakuaje kama umempiga denda mtu mweny ukimwi ambaye anatumia daw za ARVs na una michubuko midogo mdomon ya kuungua na chai
Jibu:
Huwezi kupata HIV kwa kupitia: -
1. Mate
2. Mkojo
3. Kinyesi
4. Na jasho
Kuhusu swali husika, kaa wewe una michubuko ya chai yenye kutoa majimaji yasiokuwa mate, na yeye akawa nayo kama hiyo na kukatokea mkutano yaani yako na yake wakati wa kiss kwenye majeraha mawili haya huwenda. Japo case kaa hii kutokea sio rahisi.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
๐1 Dua za Mitume na Manabii ๐2 Kitau cha Fiqh ๐3 kitabu cha Simulizi ๐4 Simulizi za Hadithi Audio ๐5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) ๐6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
MARADHI YA MOYO: KUPALALAIZI, PRESHA, SHAMBULIZI LA MOYO, Atherosclerosis;
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Watu walio hatarini kupata UTI
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya makunfi ya watu walio hatarini kupata UTI
Soma Zaidi...Huduma kwa wenye Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia Watu wale ambao wana Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo.
Soma Zaidi...Jipu: Chanzo chake na njia salama ya kulitibu.
โJipu (abscess) ni mkusanyiko wa usaha unaotokea chini ya ngozi au ndani ya tishu za mwili kutokana na maambukizi ya bakteria. Mwili hujaribu kujilinda dhidi ya vimelea hivyo kwa kutuma seli nyeupe za damu kwenye eneo husika, na matokeo yake ni kutengeneza mfuko wa usaha unaosababisha maumivu, uvimbe, na joto. Makala haya yanafafanua chanzo cha majipu na mbinu salama za kuyatibu bila kusababisha maambukizi zaidi.
Soma Zaidi...Dawa za kuua wadudu (Antibiotics): Matumizi sahihi na hatari zake.
โDawa za kuua vimelea, maarufu kama antibiotics, ni moja ya uvumbuzi muhimu zaidi katika historia ya tiba ya kisasa. Zimeokoa mamilioni ya maisha kwa kutibu maambukizi ya bakteria. Hata hivyo, matumizi yasiyo sahihi, yasiyo ya lazima, na yasiyokamilika yamesababisha ongezeko la hatari ya "usugu wa dawa" (Antimicrobial Resistance - AMR). Makala haya yanachunguza kwa kina jinsi ya kutumia dawa hizi kwa usahihi, madhara yake, na hatua za kuchukua ili kulinda ufanisi wa dawa hizi kwa vizazi vijavyo.
Soma Zaidi...Choo kuwa kigumu (Constipation): Vyakula na vinywaji vya kusaidia.
Choo kigumu ni changamoto inayowatesa watu wengi, ikiwemo maumivu ya tumbo, kuhisi mzito, na kukosa raha. Mara nyingi, tatizo hili husababishwa na ukosefu wa nyuzi lishe (fiber), kutokunywa maji ya kutosha, au kutokuwa na utaratibu mzuri wa maisha. Habari njema ni kwamba, kwa kufanya mabadiliko machache kwenye lishe yako, unaweza kurudisha mfumo wako wa mmengโenyo wa chakula kwenye hali ya kawaida.
Soma Zaidi...