Homa ni moka ya dalili inayohusiana na maradhi mengi sana. Unaweza kuwa na homa ikawa pia si maradhi kumbe ni stress tu. Je unasumbuliwa na homa za mara kwamara, Makala hii ni kwa ajili yako
Swali:
Swali langu Ni kwamba je Kama utaonekana kupatwa na homa,kichwa,tumbo, kiharisha kwa siku moja( ya kwanza) na vyote kupona siku nyingine (ya pili kupona) pasipo kutumia dawa inaweza kuwa Ni dalili ya ugonjwa wa zinaa ?
Jibu:
Γ’ΕΒΓ―ΒΈΒ Huwenda ila hii si kawaida
Γ’ΕΒΓ―ΒΈΒ Vyemakupunguza stress kuna uwezekano ndio sababu zakuhisi hali hizi
Γ’ΕΒΓ―ΒΈΒ hata hivyo kaa magonjwa ya zinaa kupata dalili hizo nakuondoak siku inayofuata sio hali ya kawaida.
Fika kituo cha afya upatevipimo zaidi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Je unasumbuliwa na maumivuvya tumbo chini ya kitovu upande wa kushito. Post hii itakuletea sababu za maukivubhayo na nini ufanye.
Soma Zaidi...Mbu ni katika wadudu wanaopatikana maeneo yenye joto hususan maeneo ynye hali ya hewa ya kitropik.
Soma Zaidi...Swali langu: Ukiwa na areji , afu kupata muwasho korodani unapo jikuna unga kutoka nayo fangasi?
Soma Zaidi...TIBA YA MINYOO Moja katika sifa za minyoo ni kuwa wanatibika kwa urahisi pindi mgonjwa akipewa dawa husika.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi visababishi vya ugonjwa wa Bawasili,kuna watu wengi wanapenda kujua kabisa chanzo cha kuwepo kwa ugonjwa wa Bawasili kwenye jamii na kuna maswali mengi yanayoulizwa kuhusu visababishi vya Bawasili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi aina mbili za kifua kikuu, aina ya kwanza ni ile ya kawaida ambayo ushambulia mapafu na aina ya pili ni ile ambayo ushambulia sehemu mbalimbali za mwili kama vile kwenye limfu node, kwenye sehemu za moyo, kwenye uti wa mgongo, kwen
Soma Zaidi...Kuharisha ni Hali ya kupitisha kinyesi Cha maji chenye damu au kisicho na damu
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa vericose veini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa macho, ni ugonjwa ambao ushambulia zaidi sehemu za nje za macho ambazo kwa kawaida uitwa conjunctiva na cornea hizi sehemu zikipata maambukizi zisipotibiwa mapema uweza kusababisha upofu kwa mgonjwa.
Soma Zaidi...