je kukohoa kunaweza kuwa ni dalili ya minyoo?
Dalili za minyoo zipo nyingi kama kuumwa na tumbo, tumbo kujaa gesi, uchovu, kukosa hamu ya kula, kupata choo chenye uteute na kupunguwa uzito. je kukohoa kunaweza kuwa ni dalili ya minyoo?
SWALI:
je kukohoa kunaweza kuwa ni dalili ya minyoo?
JIBU
Jibu fupi hapana. kukohoa sio dalili ya minyoo. Inaweza kuwa Kuna shida kwenye mfumo wa upumuaji lamda mashambulizi ya bakteria. Hutokea pia mtu akakohoa baada ya kupaliwa. Kifua kikuu n aina nyingine za maradhi hufahamika kuathiri mfumo wa upumuaji na kusababisha kukohoa.
Kama unasumbuliwa na kukohoa ni vyema ukamuona daktari mapema, upate vipimo.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Madhara ya kula vyakula vya kukaanga mara kwa mara.
Chipsi, kuku wa kukaanga, mandazi, na sambusa ni vyakula vinavyopendwa na wengi kutokana na ladha yake na urahisi wa kupatikana. Hata hivyo, kukaanga chakula kwa mafuta mengi (deep-frying) hubadilisha muundo wa kemikali wa chakula hicho, na kukifanya kiwe na kalori nyingi sana, mafuta hatari, na kemikali zinazoweza kudhuru mwili wako kwa muda mrefu. Makala haya yanakupa mwongozo wa kwa nini unapaswa kupunguza tabia hii.
Soma Zaidi...Ninashida Kuna mtu anaumwa pressure Kila anap pima Iko juu il mwil aumuumi at kidg n dawa anatumia unawez kunisaidiaj
Kama unasumbuliwa na presha post hii ni kwa ajili yako. Hapa tutakuoatia ushauri kutokana na swali alilouliza mdau wetu.
Soma Zaidi...Sababu za maumivu ya tumbo kitovuni na dalili zake
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo kitovuni na dalili zake
Soma Zaidi...Tatizo la fizi kuachana.
Posti hii inahusu zaidi tatizo la fizi kuachana, ni tatizo ambalo uwakumba watu wengi kwa wakati mwingine unakuta fizi zimeachana kutoka sehemu moja kwa nyingine kwa hiyo tunaweza kuona sababu kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...MALARIA INATOKEAJE? (Namna ambavyo malaria inatokea, inaanza na inavyoathiri afya)
Kama tulivyokwisha kuona kuwa malaria inaweza kuambukizwa kwa kung'atwa na mbu aina ya anophelesi.
Soma Zaidi...