Je maumivu juu ya kitovu ni miongoni mwa dalili za mimba?

Kama unahisi maumivu ya tumbo huwenda umejiuliza swali hili ukiwa kama mwanamke "Je maumivu juu ya kitovu ni miongoni mwa dalili za mimba?". Post hii inakwenda kujibu swali hili

SWALI

Je maumivu juu ya kitovu ni miongoni mwa dalili za mimba?

 

JIBU:

Maumibu ya tumbo ni katika dalili za mimba. Maumivu ya tumbo huweza kutokea si kwa mimba changa tu bali hata mimba iliyokomaa. Maumivu ya tumbo huendelea kusumbuwa hata wanaokaribia kujifunguwa.

 

Kwa mimba zilizo changa maumivu ya tumbo huwenda yakawa katika dalili za mwanzoni kuziona kwa baadhi ya wanawake.

 

Maumivu haya yanaweza kuwa chini ya kitomvu, ama upande wa kushoto na hata kulia. Itambulike kuwa maumivu ya tumbo si dalili pekee ya ujauzito.

 

Maumivu ya tumbo pia yanaweza kuwa ni dalili ya:-

1. Typhod

2. UTI

3. PID

4. Shida kwenye kizazi

5. Ama shida kwenye mfuno wa chakula kama kujaa gesi na kadhalika.

 

NINI UFANYE:

Kama unahisi nibujajzito kitu cha kufanya ni kupata vipimo. Vyema ukafika hospitali kwa vipimonzaidi.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-09-17     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 15654


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Ugonjwa wa Uharibifu wa seli nyekundu za damu
Posti hii inazungumzia kuhusiana na was Uharibifu wa seli nyekundu za damu ambapo hujulikana Kama Ugonjwa wa Hemolytic uremic (HUS) ni hali inayotokana na uharibifu usio wa kawaida wa seli nyekundu za damu mapema. Mara tu mchakato huu unapoanza, seli nye Soma Zaidi...

Fahamu maambukizi ya kwenye mishipa ya Damu.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na ugonjwa ambao husababisha kuvimba kwa mishipa ya damu katika mwili wako wote. Ambao kitaalamu hujulikana Kama Behcet . Soma Zaidi...

Namna ya kujikinga na VVU/UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza namna mbalimbali za kujikinga na VVU/UKIMWI Soma Zaidi...

Dalili za fangasi uken
Posti hii inahusu zaidi dalili za fangasi uken, hizi ni baadhi ya dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la fangasi uken. Soma Zaidi...

Maumivu ya mgongo.
Post yetu Leo inaenda kuzungumzia Maumivu ya nyuma ni malalamiko ya kawaida. Kwa upande mkali, unaweza kuchukua hatua za kuzuia au kupunguza matukio mengi ya maumivu ya mgongo. Ikiwa kinga itashindikana, matibabu rahisi ya nyumbani na mbinu sahihi za m Soma Zaidi...

Madhara ya kutotibu Maambukizi kwenye mifupa.
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu Maambukizi kwenye mifupa,ni madhara ambayo utokea endapo Maambukizi kwenye mifupa yasipotibiwa kwa mda wake. Soma Zaidi...

Ugonjwa wa degedege na dalili zake
Ugonjwa wa degedege ni ugonjwa unaowapata sana watoto chini ya miaka mitano ingawa na watu wazima wanapatwa na ugonjwa huo Soma Zaidi...

Dalili za mimba changa kutoka
Post hii inaenda kuzungumzia zaidi kuhusiana na mimba zinazoharibika . mimba huweza kuaribika au kutoka anzia miezi 3 na kuendelea . Soma Zaidi...

Dalili na ishara za anemia ya minyoo
Posti hii inshusiana na dalili za anemia ya minyoo Soma Zaidi...

Sababu za Kutokwa Damu moja kwa moja bila kuganda (hemophilia).
Posti hii inaelezea kuhusiana na Damu kutokuganda ambalo hujulikana Kama Hemophilia, ni ugonjwa nadra ambapo damu yako haigandi kawaida kwa sababu haina protini za kutosha za kuganda. Ikiwa una tatizo la Damu kutokuganda, unaweza kuvuja damu kwa muda mre Soma Zaidi...

Je kwa mfano mimi nmeupata ukimwi leo na sihitaji kwenda kupima yaaan uanza kujionyesha baada ya muda gani
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuwa ukimwi huonekana baada ya muda gani toka kuathirika? Soma Zaidi...

Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa mkojo kwa watoto chini ya miaka mitano (UTI)
posti hii inazungumzia kuhusiana na Maambukizi kwenye mfumo wa mkojo ambapo kitaalamu hujulikana Kama UTI(Urinary Tract Infection (UTI)) hufafanuliwa kuwa ni maambukizo ya mfumo wa uzazi ambayo yanahusisha urethra.'UTI ni maambukizi ya mfumo wa mkojo, m Soma Zaidi...