Je minyoo inaweza kusababisha mmeng'enyo wa chakula kuwa dhaifu?

Mfumo wa chakula unaweza kuwa dhaifu kwa sababu nyingi ikiwepo vyakula vyenyewe, vinywaji ama maradhi. Vipi kuhusu minyoo? Endelea na makala hii utajifunza zaidi.

' SWALI: 

Je minyoo inaweza kusababisha mmeng'enyo wa chakula kuwa dhaifu'

 

Jibu

' inawezekana,  endapo minyoo itasababisha maumivu ya tumbo,  huwenda ikaathiri ulaji.  Pia minyoo hula virutumisho ambavyo vinatakiwa na mwili.  Hiivinawwza kusababisha mwili kuwa dhaifu kwakukosa virutubisho. 

 

' pia mivyoo inaweza kufyonza damu nakusababisha upungufu wa damu. Hii inawezakusababishavudhaifu wa mwili. 

 

' Hutokea pia minyoo ikaathiri ini.  Hii huwezakuatgiri mfumo wa mmeng'enyo wa shakila na kuudhoofisha. 

 

' Katika hali ya kawaida mungia haiathiri mmeng'enyo wa chakula ' ikahuwezakuufanya mwili kuwa dhaifu. 

 

Wasiliana ' na daktari amafikakituo cha afya kuwa vipimo 'na matibabu '.

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-10-18     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 774

Post zifazofanana:-

Hadithi ya mvuvi na jini
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

Umuhimu wa uzazi wa mpango
Uzazi wa mpango ni njia inayotumiwa na WA awake na wasichana Ili kupata idadi ya watoto wanaowahitaji na kuepuka mimba zisizotarajiwa. Soma Zaidi...

Hadithi ya aladini na taa ya mshumaa wa ajabu
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi ya aladini na taa ya mshumaa wa ajabu Soma Zaidi...

Alif lela ulela
Posti hii inakwenda kukusimulia hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

Fangasi wa sehemu za Siri
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu fangasi wa sehemu za Siri Soma Zaidi...

Dawa ya maumivu ya jino
Somo Hili linakwenda kukuletea dawa ya maumivu ya jino Soma Zaidi...

Misingi ya fiqh
Kwenye kipengele hichi tutajifinza vyanzo mbalimbali vya sheria ua kiislamu. Soma Zaidi...

Faida kuu 10 za kula matunda na mboga mwilini - kwa nini ni muhumu kula matunda?
Makala hii inakwenda kukutajia sababau kuu 10 ambazo zinaonyesha umuhimu wa kula matunda kiafya. kwa nini kiafya unashauriwa ule matunda na mboga mara kwa mara? Soma Zaidi...

Dalili za ukimwi za kwenye ulimi na mdomo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za ukimwi za kwenye ulimi na mdomo Soma Zaidi...

Dalili ya pressure ya kupanda
Post ya leo inaenda kufundisha dalili na hatari za presha ya kupanda. Presha ni ugonjwa unaosababishwa na baadhi ya vitu mbalimbali.pressure hujulikana kwa jina lingine ambolo ni hypertension (pressure ya kupanda). presha hugundulika pale ambapo presha ya Soma Zaidi...

Kifo cha mtoa burudani wa sultani
Posti hii inakwenda kukusimulia kuhusu hadithi ya kifo cha mtoa burudani wa sultan Soma Zaidi...

Faida kula fenesi
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula fenesi Soma Zaidi...