Je siku ya kwanza kabisa ya ovulation mimba inakuwa ni uhakika kupata mimba?
Watu wengi wanadhania kuwa kufanya tendo la ndoa katika siku hatari ni lazima kuwa utapata ujauzito. Hili sio sahihi kabisa. Post hii itakwenda kuangalia jambo hili zaidi.
Swali:
Habari za asubuhi doctor. Naomba msaada wako.....je siku ya kwanza kabisa ya ovulation mimba inakuwa ni uhakika?
Jibu:
Mimba huigia wakati mwanamke yupo katika siku hatari tu. Hata hivyo haimaanishi kuwa ndio lazima utapata ujauzito pindi ukifanya tendo katika siku hizi. Kuna mambo mengi yanaweza kusababisha mimba usipate hata kama umeshiriki katika siku hatari.
Mambo yanayozuia ujauzito:
1. Mbegu kuwa chache
2. Mbegu kuwa dhaifu
3. Kuzidi kwa tindikali kwenye mirija ya falopia
4. Kuwepo na vizuizi vitakavyozuia mbegu zisilifikie yai
5. Mbegu kuwa changa yaani hazijakomaa
6. Yai kutokukomaa vyema
Hivyo asi unaweza basi kwa sababu hizi unaweza kushiriki tendola ndoa bila ya kinga katika siku hatari na usipate mimba.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Dalili za mimba yenye uvimbe
Mimba ya tumbo - pia inajulikana kama hydatidiform mole - ni ugumu usiyo na kansa (benign) ambayo hutokea kwenye uterasi. Mimba ya molar huanza wakati yai linaporutubishwa, lakini badala ya mimba ya kawaida, yenye uwezo wa kutokea, plasenta hukua na kuwa
Soma Zaidi...Dalili za uvimbe kwenye kizazi
Posti hii inahusu zaidi Dalili za uvimbe kwenye kizazi,hizi ni Dalili ambazo ujitokeza kwa akina mama ambao wana uvimbe kwenye kizazi kwa hiyo endapo mama ameona Dalili kama hizi anapaswa kuwahi hospitali mara moja kwa uangalizi zaidi.
Soma Zaidi...Je kukosa hedhi kwa mwanmke anayenyonyesha ni dalili ya mimba
Kipimo cha mimba cha mkojo hakiwezi kyonyesha mimva changa sana. Hivyo kama ni mimba baada ya wikibpima tena itaweza kuonekana. Dalili hizobulizotaja pekee haziashirii mimba tu huwenda ni homoni zimebadilika kidogo, ama una uti.
Soma Zaidi...Sababu za kuongezeka uzito wa wajawazito.
Posti hii inahusu zaidi sababu za kuongezeka uzito kwa wajawazito, Mara nyingi Mama akibeba mimba uongezeka uzito kutoka wiki ya Kwanza mpaka wiki ya mwisho ya kujifungua.
Soma Zaidi...Nini husababisha maumivu ya uume
Kama uume wako unauma ama unahisi kuwa unaunguza ama kuchoma choma, post hii imekuandalia somo hili.
Soma Zaidi...