JE WAJUWA KUWA JUA HUJIZUNGURUSHA KWENYE MHIMILI WAKE?


image


Tulipokuwa shule tulisoma kuwa jua halizunguruki, ila dunia ndio huzunguka jua.


Jua huzunguka kwenye mhimili wake mara moja katika takriban siku 27. ... Kwa kuwa Jua ni mpira wa gesi/plasma, si lazima lizunguke kwa uthabiti kama sayari na miezi dhabiti. Kwa kweli, maeneo ya Ikweta ya Jua huzunguka kwa kasi (kuchukua siku 24 tu) kuliko maeneo ya polar (ambayo huzunguka mara moja kwa zaidi ya siku 30).

 

Ugunduzi huu ulikuwepo toka miaka ya 1600 AD na Mwanafizikia aliyefahamika kwa jina la Galileo Galilei. Ugunduzi huu unamaanisha kuwa Jua linafanya rotation na pia lina revolution kuzunguka centre of galaxy.

 

Galileo Galilei alikuwa mtaalamu wa fizikia, hisabati na astronomia kutoka nchini Italia. Anakumbukwa kwa sababu aliweka misingi ya mbinu mpya za sayansi zinazoendelea kutumika hadi leo. Wikipedia

Tarehe ya kuzaliwa: 15 Februari 1564

Mahali alikozaliwa: Pisa, Italia

Alikufa: 8 Januari 1642, Arcetri, Italia



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    2 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    3 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    4 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    5 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Je wajuwa kuwa jua hujizungurusha kwenye mhimili wake?
Tulipokuwa shule tulisoma kuwa jua halizunguruki, ila dunia ndio huzunguka jua. Soma Zaidi...