Post hii inahusu zaidi namna mimba inavyotungwa mpaka mtoto kuingia kwenye mfuko wa uzazi, mimba kutungwa ni kitendo ambapo mbegu za kiume kuungana na yai la kike na kutengeneza zygote.
Jinsi mimba inavyotungwa mpaka kuingia kwenye mfuko wa uzazi wa mama
_ wakati wa kujamiiana mbegu za kiume huungana na yai la mama na kutengeneza zygote
_hiki kitendo hufanyikia kwenye milija ya mwanamke kwa kitaalamu huitwa (follapian tube)
-wakati wa kujamiiana mbegu za kiume kama millioni mia tatu hutolew
_ lakini nyingine hufia njiani maelfu ufika kwenye milija ya mwanamke Moja tu ndo uungana na yai kutengeneza zygote
_ Baada ya siku tatu au nne zygote ushuka kwenye mfuko wa mimba na kutengeneza placenta
_ placenta usaidia mtoto katika kula, hewa, kutoa uchafu na kazi zote zinazohitajika kwa mtoto akiwa tumboni
_ mtoto hukaa miezi Tisa baadae utoka mda wake ukifika.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Post inaenda kuzungumzia kuhusiana na upungufu wa damu mwilini ambapo tutaona SABABU na dalili zake lakin upungufu wa damu mwilini hujulikana Kama ANEMIA.
Soma Zaidi...Kukaza kwa misuli lunaweza kutokea muda wowote ila mara nyingi hutokea pindi mtu anapofanya mazoezi, amnapoogelea ama anapofanya kazi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu huduma ya kwanza kwa mtu aliyeingiwa na uchafu au kitu chochote sikioni. Sikio ni mojawapo ya milango ya fahamu ambapo hutumika kusikia, Kuna wakati vitu uingia ndani yake na kuleta madhara
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za mdomo kuwa mchungu
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Uvimbe au mashambulizi ya bacteria kwenye utando laini uliopo tumboni ambao kitaalamu hujulikana Kama peritonitis.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wazee
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi huduma Kwa mgonjwa mwenye maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo,ni huduma maalumu ya kumsaidia mgonjwa aliyepata maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo.
Soma Zaidi...Kama unahitaji kujuwa namna ya kuweza kujikinga na vidonda vya tumbo, basi makala hii ni kwa ajili yako. Hapa utaweza kuzijuwa hatuwa zote za kujikinga na kupata vidonda vya tumbo.
Soma Zaidi...