JINSI YA KUFANYA SIMU YAKO IWE FASTA


image


Posti hii inakwenda kukuelekeza njia za kufanya simu yako iwe fasta


JINSI YA KUIFANYA SIMU YAKO  IWE FASTA

.tumesha taja baadhi ya mabo yanayofanya simu yako kuwa ipo SLOW sasa hebu tuone kwa ufupi mambo ambayo yatafaya simu yako iwe fasta ifanyae kazi kwa haraka zaidi. Yapo mambo mengi yanayofanya simu yako iwe fasta ila kwa uchache nitakutajia mabo matano ambayo ni:-

1.Ondoa application zote ambazo hauzitumii hasahasa zile ambazo zinaonekana kuchukuwa nafasi kubwa katika simu yako. Unaweza kuzitowa kwa kufanya uninstallation eidha kwa kutumia installer au customer unistallation yaan manualy wewe mwenyewe.

2.Jambo la pili  ni kufuta cached data hizi  ni data zilizohifadhiwa katika simu yako kutoka katika tovuti yaan website au kutoka katika application. Data hizi zinasaidia simu yako ifunguwe tovuti ile bila ya kuload tena. Lengo kubwa la data hizi na kuokowa muda wa kuload pindi unapofunguwa kurasa ileile. Jinsi ya kufuta data hizi inategemea na menu ya simu yako ila unakwena SETTING kisha STOTAGE au APPLICATION kisha CLEAR CACHE. Au unaweza kutumia application za playstore kupata application za kufuta cache au bofya hapa kupata application hizo.

3.Ondowa animation na live background au wallpaper.

4.Restart simu yako. Kuiristat simu ni njia mbadala na ya ufasaha zaidi katika kuifanya simu yako iwe fasta. Na hii ni kwa sababu unaporesrart simu yako inaanza upya kufanya kazi kwani itakuwa imejirifreshi. Hivyo kitendo hiki kitaifanya simu yako iwe na spid.

5.Restore simu yako kwa kufanya factory reset. Hii ni hatuwa ya mwisho zaidi kama simu yako inaendelea kuwa ipo slow na njia zingine zieshindwa. Kureset simu kunahitaji umakini kwani unaweza ukapoteza baadhi ya data zako. Jinsi ya kurestore nenda SETTING kisha SECURITY kinsha RESTORE. Kama itasumbuwa pia unaweza kutumia application kutoka playstore kwa ajili ya factory reset, kwa mpano bofya hapa kupata application 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    2 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    5 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya php    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Jinsi ya kutuma sms ndefu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kutuma sms ndefu Soma Zaidi...

image CONTACT US
Soma Zaidi...

image Mbu (mosquito)
Posti hii inakwenda kukupa sifa za mdudu mbu Soma Zaidi...

image Safari ya damu kwa Kila siku
Posti hii inakwenda kukuletea mfumo wa damu mwilini na safari zake za Kila siku Soma Zaidi...

image Njia rahisi ya kudownload video YouTube
Posti hii inakwenda kukuelekeza kuhusu njia rahisi ya kudownload video YouTube Soma Zaidi...

image Kipi kingine utafanya ukiwa Facebook
Somo hili linakwenda kukueleza Mambo mengne unayoweza kuyafanya ukiwa Facebook Soma Zaidi...

image Samaki aina ya salmon
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sifa za samaki aina ya salmon Soma Zaidi...

image Cheetah
Posti hii inakwenda kukupa sifa za mnyama cheetah Soma Zaidi...

image WIKIBONGO NI NINI?.
Bila shaka umekuwa ukijiuliza sana kuhusu wiki bongo hasa ni kitu gani. Hapa upo mahala sahihi. nitakwenda kukueleza hasa ni nini maana ya hili neno "wikibongo". Soma Zaidi...

image Utajuaje Kama simu au kompyuta yako Ina virus
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kujua Kama simu yako ina virus Soma Zaidi...