image

JINSI YA KUOMBA DUA ILI IKUBALIWE NA ALLAH

Kukubaliwa kwa dua kunategemea mahusiano yako na Allah. hata hivyo kuna baadhi ya mabo ukiyafanya dua yako inaweza kukubaliwa kwa haraka zaidi. Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu jinsi ya kuomba dua ikubaliwe.

Ili kuomba dua itakayokubaliwa unatakiwa uzingatie adabu za dua, nyakati za kuomba dua pia ujuwe hali zinazozunguruka dua yako. Hapa nitakueleza baadhi ya taratibu za kuomba dua itakayokubaliwa

Zingatia adabu na taratibu za dua kama ifuatavyo:-

1. Omba dua ukiwa twahara
2. Elekea kibla
3. kuwa twahara katika mavazi na mwili
4. Anza na kumsifu Allah (Tahmid, kwa kusema Alhamduliilahi rabbil-'alamiina)
5. Mswalie mtume (Swala ya mtume)
6. waombee dua waislamu wote
7.Taka istighfar kwa kusema Astaghfirullah (mara kadhaa)
8. sasa omba dua yako



Zingatia nyakati za kuomba dua. Nyakati zifatazo dua hukubaliwa rahisi:-
1. siku ya ujumaa
2. usiku wa manane
3. Baada ya Swala
4. Baada ya adhana
5. Wakati ukiwa umefunga
6. Wakati unapofanya jambo jema la kumfurahisha Allah



Pia omba Dua yako katika hali hizi:-
1. ukiwa umefunga
2. baada ya kusoma quran
3. Toa sadaka kisha muombe Allah dua yako
4. Mfanyie wema mtu aliye mbali akikuombea dua yake itakubaliwa.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Sunnah Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 4502


Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Simulizi za Hadithi Audio     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

DUA 120
Soma Zaidi...

KUINGIA KWA WAGENI
Download kitabu Hiki Bofya hapa KUINGIA KWA WAGENI Amina na Sadie walimuonea huruma wakamuomba Zubeid amruhusu abakie. Soma Zaidi...

SWALA YA MTUME (s.a.w)
SWALA YA MTUME Kumswalia Mtume (s. Soma Zaidi...

NYAKATI AMBAZO DUA HUJIBIWA
NYAKATI AMBAZO DUA HUJUBIWA. Soma Zaidi...

sunnah
Soma Zaidi...

ADABU ZA KUOMBA DUA
ADABU ZA KUOMBA DUA. Soma Zaidi...

Hadithi Ya 29: Muabudu Allaah Na Usimshirikishe Na Chochote
Soma Zaidi...

Hadithi inayotaja nguzo tano za uislamu
عَنْ أَبِي عَبْدِ الرَّحْمَنِ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ عُمَرَ بْنِ الْخَطَّابِ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا قَالَ: سَمِعْت رَسُولَ اللَّهِ صل?... Soma Zaidi...

Mafunzo ya hadithi zilizochaguliwa
Sunnah na hadithi (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

DUA 61 - 84
61. Soma Zaidi...

DUA ZA WAKATI WA HASIRA
DUA ZA WAKATI UNAPOKUWA NA HASIRA. Soma Zaidi...

ADHKAR NA DUA
ADHKARI MBALIMBALI NA DUA Hapa tutajifunza dua mbalimbali ambazo ni adhkari. Soma Zaidi...