Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu nadharia ya kupata mtoto wa kiume.
Habari,nashukuru nakuelewaelewa jinsi ya kukokotoa siku na kupata siku za kutungwa mimba,sasa mimi siku zangu zinabadilikabadilika ila mara nyingi ni cku 32 au 31, na shida yangu ni mtoto wa kiume,naweza kufanyaje ktk hilo?
Kupata mtoto wa kiume kuna nadharia nyingi japokuwa hazina uthibitisho wa kitaalamu. Hivyo hakuna njia ambayo ni ya uhakika ya kufanya upate mtoto wa kiume.
Hata hivyo wacha nikuchagulie moja ambayo wengi wanaamini imewasaidia
1. Kuna tafitibzilifanywa zinaeleza kuwa mwanamke anayekula calories kwa wingi ana chansi kubwa ya kupata mtoto wa kiume.
Unaposema calories unazungumzia sana vyakula vya wanga. Hatabhibyo katika hali ya kawaida unatakiwa wakatibunatafutavujauzito uke kwa wingi na uongeze chumvi.
Kwa nini Chumvi ni kwa sababu chumvi ina alkali ambayo itafanya mji wa mimba kuwa na alkali kitu ambacho kitasaidia mbegu za kiume kiweze kuishi muda mrefu zikiwa tumboni.
2. Kuna tafiti zilifanywa zikasema kuwa mwanamke akiwahi kufika. Kileleni mapema kabla ya mume husaidia kupata mtoto wa kiume kwani mbegu za kiume zitaweza kusafiri kwa haraka kuliko za kike
3. Wapo wanaosema baada ya sex mwanamke alale ubavu wa kulia hii nayo husaidiabkubanya mbegu zankiume kuwahi kufikia kwenye yaibkwa haraka
4. Wapo wanaosema pia kuwa mikoa ya sex inasaidia. Kwa mfano mako wa kifo cha mende kununua mlango wa uzazi uje karibu hivyo husaodia mbegu zankiune kiwahi.
Hizo ni nadharia, hata hivyo kama nilivyokueleza hakunabhatabmoja yenye uhakika kitaalamu. Ijapokuwa wengine wanasema zimewasaidia. Huwenda ni kwa bahati zao ama ninkweli zimesaidi
Kwa mimi nakuchagulia hiyo ya kwanza. Ila hakikisha usiwe unazidisha machumvi no kilichozungumzwa hapo ni vyakula vyenye madinj ya potasium kama ndizi, na chumvi ya kawaida .
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2077
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio
👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉3 Madrasa kiganjani
👉4 kitabu cha Simulizi
👉5 Kitabu cha Afya
👉6 Kitau cha Fiqh
Jinsi ya kushusha homoni za kiume.
Posti hii inahusu zaidi njia ambazo unaweza kuzitumia ili kuweza kupunguza homoni za kiume kwa akina dada. Soma Zaidi...
Habari, naomba kuulizia, nimadhara gani atayapata mwanamke akitolewa bikra bila kukusudia
Je unawaza nini endapo bikra itatolewa bila wewe kukusudia, je imetolewa kwa njia ya kawaida yaani uume ama ilikuwa ni ajali? Soma Zaidi...
Utaratibu wa kushiriki tendo la ndoa kwa wajawazito
Jifunze muda ambao mjamzito hatatkiwa kishiriki tendo la ndoa. je kuna madhara kwa mjamzito kushiriki tendo la ndoa. Soma Zaidi...
Mimi Nina tatizo kila nkishika mimba huwa zinatoka tu ni mara 5 Sasa nifanyaje?
Mimba inaweza kutoka kutokana na maradhi, majeraha ama misukosuko mimgine. Kutoka kwa mimva haimaanishi ndio mwisho wa kizazi. Soma Zaidi...
Madhara ya kufanya tendo la ndoa na mwanamke akiwa katika siku zake.
Tendo la ndoa wakati wa siku za hedhi ni halia mbayo jamii nying zinakataza. Katika vitabu vya dini pia haviruhusu, hata ki saikolojia utaona kuwa sio jambo jema. Hata hivyo hapa ninakuletea madhara yake kiafya Soma Zaidi...
Dalili za kifafa cha mimba.
Posti hii inahusu zaidi Dalili za Mama mwenye kifafa cha mimba, ili kifafa cha mimba kiweze kutokea lazima kuna dalili ambazo uweza kutokea kwa Mama kama ifuatavyo. Soma Zaidi...
Dalili za mimba kuanzia week mbili Hadi mwezi
Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya dalili za mimba kuanzia week mbili Hadi mwezi Soma Zaidi...
dalili za mimba baada ya tendo la ndoa na changa ndani ya wiki moja
Utajifunza dalili za mwanzoni za mimba changa kuanzia wiki moja baada ya tendo la ndoa Soma Zaidi...
Faida za uzazi wa mpango kwa jamii
Posti hii inahusu zaidi faida za uzazi wa mpango kwa jamii, tunapaswa kujua kuwa uzazi wa mpango ukitumiwa vizuri na jamii nayo inapata faida kwa hiyo zifuatazo ni faida za uzazi wa mpango kwa jamii. Soma Zaidi...
Vipimo muhimu kabla ya kubeba mimba
Posti hii inahusu zaidi vipimo muhimu kabla ya kubeba mimba,ni vipimo vya moja kwa moja kutoka maabara na vingine sio vya maabara. Soma Zaidi...
Mabadiliko ya ngozi wakati wa ujauzito.
Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye ngozi wakati wa ujauzito, ni mabadiliko yanayotokea kwenye ngozi ya Mama wakati wa ujauzito. Soma Zaidi...
Nini husababisha mtoto kukosa maji kabla ya kuzaliwa?
inaweza kutokea kuwa mtoto aliye tumboni akaishiwa maji hata kabla ya kuzaliwa. yes hali hii huweza kuwapata baadhiya watoto. Soma Zaidi...