Posti hii inahusu zaidi njia ambazo unaweza kuzitumia ili kuweza kupunguza homoni za kiume kwa akina dada.
1. Kuna wakati mwingine watoto wa kike huwa na homoni za kiume zinakuwa nyingi hali ambayo Usababisha kuwepo kwa kuota ndevu kwa baadhi ya wasichana na kuwa na baadhi ya tabia za kiume kwa hiyo homoni hizi zikizidi kwa wasichana zinaweza kusababisha mambo mbalimbali ambayo ni pamoja na kukosa kuingia kwenye hedhi ili kuweza kushusha mbegu hizo tunapaswa kufanya yafuatayo.
2. Matumizi ya soya.
Kwa kutumia soya usaidia kushusha homoni za kiume kwa wasichana na kuwa kweye hali yao ya kawaida kwa hiyo ni vizuri kujua namna ya kutumia unaweza kutumia unga wake na kuweka kwenye maji na kunywa kikombe kimoja kwa asubuhi, kikombe kingine mchana na jioni, kwa matumizi ya soya homoni hizi nitaweza kushika na dada akawa kwenye hali yake ya kawaida.
3. Matumizi ya mnara ( mint)
Ni mmea mzuri kwa matumizi ya kushusha homoni za kiume kwa wasichana, mmea huu kwa Tanzania upatikana kwenye mikoa ya pwani kwa hiyo kwa wake wenye changamoto hii ni vizuri kabisa kuweza kutumia mmea huu.
4. Matumizi ya mizizi ya Arkisus.
Ni mizizi ambayo utumika ili kuweza kushusha homoni za kiume kwa wasichana, kwa matumizi ya mizizi hii,ni kuchimbua mizizi, kuosha vizuri, kutwanga na kuitengeneza ikawa kama unga na kuweka kwenye maji ya moto na kunywa Kikombe kimoja asubuhi, mchana jioni.
5. Tumia sana mafuta ya mimea kuliko mafuta ya wanyama.
Kwa matumizi mazuri ya mafuta ya mimea kama vile mawese, mafuta ya alizeti na Nazi mafuta haya ni mazuri pia usaidia katika kupunguza homoni za kiume kwa wasichana.
6. Punguza matumizi ya vyakula vya wanga.
Kwa kawaida na vyakula vya wanga siyo vizuri kwa watoto wa kike katika kuvitumia mara Kwa mara mara nyingi watoto wa kike wanapaswa kutumia matunda zaidi, mboga za majani na samaki Ili kuweza kupunguza homoni za kiume na kuwepo za kawaida za kike.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2012
Sponsored links
π1 Kitau cha Fiqh
π2 kitabu cha Simulizi
π3 Madrasa kiganjani
π4 Kitabu cha Afya
π5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Mimi imepita miezi mitatu sioni hedhi na wala sioni dalili ya kuwa na mimba unaweza ukaniambia tatizo la kuwa na hali hii
Kama na wewe una tatizo la kupitiliza siku zako za hedhi hli ya kuwa huna ujauzito, soma post hii ina majibu yako. Soma Zaidi...
Vipimo muhimu kabla ya kubeba mimba
Posti hii inahusu zaidi vipimo muhimu kabla ya kubeba mimba,ni vipimo vya moja kwa moja kutoka maabara na vingine sio vya maabara. Soma Zaidi...
Mabadiliko kwenye mfumo wa chakula kwa wajawazito.
Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye mfumo wa chakula kwa wajawazito, ni mabadiliko ambayo utokea kwa wajawazito hasa kwenye mfumo wa chakula. Soma Zaidi...
Napenda kuuliza mke wangu anamuda wa wiki moja . tumbo na maziwa vinauma je dalili hizo zinawekuwa ni ujauzito...?
Maumivu ya tumbo kwa mjamzito huweza kuanaa kuonekana mwanzoni kabisa mwaujauzito, ndani ya mwezi mmoja. Ikabidi si dalili pekee ya kuwa ni mjamzito. Soma Zaidi...
Nna mimba ya miez miezi mitano 5 naruhusiwa kula papai kwa wing
Miongoni mwa matunda yenye virutubisho vingi ni pamoja na papai, nanasi, tikiti, palachichi, pera, karoti, hindi na boga. Lakini katika matunda haya yapo ambayo kwa mimba changa anatakiwa awe makini, kama papai na nanasi. Sasa vipi kuhusu mimba ya Soma Zaidi...
mim uume wangu kunavipele vimekuja pia uume nikiiukuna unachubuka sasa sijajua itakuwa tatizo gani
Habari. Soma Zaidi...
Namna ya kufunga kitovu cha mtoto.
Posti hii inahusu zaidi njia au namna ya kufunga kitovu cha mtoto mara tu anapozaliwa, kwa kawaida tunafahamu kwamba ili mtoto aweze kuishi akiwa tumboni anategemea sana kula na kufanya shughuli zake kwa kupitia kwenye plasenta kwa hiyo mtoto akizaliwa tu Soma Zaidi...
Dalili za upungufu wa homoni ya projestron
Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zinaweza kutokea iwapo Kuna upungufu wa homoni ya progesterone. Soma Zaidi...
Maelekezo muhimu kwa Mama au mlezi wa mtoto mgonjwa
Posti hii inahusu zaidi maelekezo muhimu kwa mama au mlezi wa mtoto mgonjwa. Ni maelekezo muhimu hasa wakati wa kutoa dawa kwa mtoto. Soma Zaidi...
Jinsi mimba inavyotungwa na namna ambavyo jinsia ya mtoto inavyotokea
Posti hii hasa inahusu kasoro ,utatuzi,na jinsi ya kutunga mimba kwa upande wa mwanamke na mwanaumeΒ .itatupelekea jinsi ya kuangalia kasoro na jinsi ya kutatua hizo kasoro katika jamii zetu. Soma Zaidi...
Sababu za kutoka kwa mimba na dalili zake
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za kutoka kwa mimba na dalili zake Soma Zaidi...
Umuhimu wa kumpeleka mtoto kliniki
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kumpeleka mtoto kliniki, kliniki nisehemu ambayo mtoto hupelekwa Ili kujua maendeleo ya mtoto akiwa chini ya umri wa miaka mitano Soma Zaidi...