Jinsi ya kutoa pesa ClipClaps kwa Tanzania

Njia za kutoa pesa ClipClaps

Ni Jambo jema Tena Leo kujifunza jinsi kutoa pesa na zikufikie kwenye akaunti yako 

 

Mala kadhaa hujitokeza changamoto kwenye majukwaa ambayo tunatumia kujiingizia kipato na yote hayo husababisha na kutojua kwa kina namna jukwa Hilo linavyofanya kazi

 

Pia hii husababisha na sisi wenye kufanya Jambo bila kuwa na taalifa za kujitoshereza

Na kwasababu hiyo Sasa watu wengi wamepata hasala kubwa kwani wemekuwa wakiwekeza nguvu zao wakiamini mbeleni Kuna matunda . Ni kweri lakini hata unapofika wakati wa kuyachuma hukutana na vikazo vingi hivyo hushindwa kufikia lengo.

 

Hii ndiyo sababu imrnifanya kuandika makala hii ambayo itakufundisha jinsi ya kutoa pesa ClipClaps..

 

ClipClaps no jukwaa ambalo kwasasa linafanya vizuri na mm ni moja ya watumiaji na mashuhuda juu ya jukwaa Hilo 

 

JINSI YA KUTOA PESA 

Hili ni Jambo ambalo wengi wanatamani kukujua  hivyo Basi twende kwenye mada husika 

Kwa wale ambao hawana Akaunti  na wanaitaji kujifunza jinsi ya kuitumia ingia www.funzoapp.com/

Utakutana na makala itakayokupa mwanga..kwa Leo tutajifunza jinsi ya kutoa pesa.

 

1. Hatua ya kwanza ingia kwenye app yako 

Na hakikisha umeshatengeneza pesa ambazo hazipungui $10

Kama una poitnti hujazibadili kuwa dollar Basi zibadirishe kwanza 

 

Baada ya kuzibadilisha Sasa  kwenye dashboard yako utakuwa unaona kiasi Cha pesa bacho unacho Kama kinagika $10 unaweza ukatoa.

 

2. Hatua ya piri kwenye dashboard yako bonyeza kwenye dollars zako itafunguka ukulasa wa kutoa pesa  ambapo utakutabkuna sehemu mbiri yakwanza upande wa kushoto ni PayPal. upande wa kulia utakouta other bonyeza hapo.

 

3. Hatua ya tatu ukishabonyea other itafunguka na utakutana Tena na sehemu mbiri changua ya kwanza bayo no mobile recharge bonyeza hapo.

 

4. Hatua inayofata baada ya kufungua itakuretea ukulasa wa kujaza ili ilipwe sehemu ya kwanza utachangua kod ya taifa lako kwa Tanzania ni tz 255

Sehemu ya piri utatakiwa uchangie mtandao utanitumia

Sehemu ya tatu utawela namba ya simu bila kuanza na 0 yaani mfano 71233562332

 

Chini kabisa utakutana na batani. CONFIRM

utabonyeza hiyo sehemu Itazungua kidogo na uta thibitisha..

 

Baada ya kuwa tayari umetuma taarifa zako utasubiri siku Nadi ya siku 7 za kazi pesa zako zitakuwa zimeingia kwenye simunyako uliyojaza.

 

Nimatumaini yangu Sasa kuwa tayari umejigunza jinsi ya kutoa pesa . Na Sina Shaka kuwa Sasa utakuwa na wasiwasi juu ya pesa zako ambazo umeshavuna 

 

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/04/20/Wednesday - 04:11:00 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 704

Post zifazofanana:-

Faida za vidonge vya antroextra
Posti hii inahusu zaidi faida za vidonge vya antroextra, ni vidonge kwa ajili ya mifupa, viungo na gegedu, hivi vidonge vimetumiwa na watu wengi na matokeo yake ni mazuri sana, kwa hiyo zifuatazo ni faida za vidonge hivi. Soma Zaidi...

Nini husababisha mdomo kuwa mchungu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za mdomo kuwa mchungu Soma Zaidi...

Funga za Sunnah na namna ya kuzitekeleza
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Suratul-takaathur (102) imeteremshwa makkah Ina aya nane
Quran (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Nini husababisha ugonjwa wa kifua na maumivu ya kifua?
Posti hii inazungumzia sababu zinazopelekea kuumwa na kifua. Soma Zaidi...

Vita vya Al Fijar na sababu zake
Historia na shida ya Mtume Muhammad S.A.W, sehemu ya 12. Hapa utajifunza kuhusu kutokea kwa vita vya al fijar. Soma Zaidi...

Namna ya kujikinga na VVU/UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza namna mbalimbali za kujikinga na VVU/UKIMWI Soma Zaidi...

Vyakula vya kupambana na saratani
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kupambana na saratani Soma Zaidi...

Ugonjwa wa Kuvimba ubongo (Encephalitis)
Post hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa kuvimba kwa ubongo ambao kitaalamu huitwa Encephalitis, Ni Maambukizi ya virusi ni sababu ya kawaida ya hali hiyo. Ugonjwa wa Kuvimba ubongo unaweza kusababisha dalili zinazofanana na Homa, kama vile'Homa'au Soma Zaidi...

Madhara kwa wasiofanya mazoezi
Posti hii inahusu zaidi madhara mbalimbali ambayo yanaweza kutokea kwa watu wasiofanya mazoezi, mazoezi ni kama tiba kwa namna Moja au nyingine ila Kuna madhara ambayo yanaweza kutokea kwa wale ambao hawafanyi mazoezi. Soma Zaidi...

Vijuwe virutubisho vilivyomo kwenye parachichi.
Posti hii inahusu zaidi virutubisho vilivyomo kwenye parachichi, tunajua sana kuwa parachichi ina virutubisho vingi ambavyo vinaweza kuleta faida nyingi kwenye mwili kama yalivyo matunda na vyakula vingine. Soma Zaidi...

Dalili za maumivu ya hedhi
Maumivu ya hedhi (dysmenorrhea) ni maumivu makali au ya kubana sehemu ya chini ya tumbo. Wanawake wengi hupatwa na Maumivu ya hedhi kabla tu na wakati wa hedhi zao. Kwa wanawake wengine, usumbufu huo ni wa kuudhi tu. Kwa wengine,  Soma Zaidi...