Navigation Menu



image

Kama simu a computer yako inastack

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kufanya endapo simu yako au computer itastack

KAMA SIMU YAKO AU KOMPYUTA INASTAK (UNRESONDING):Simu za smart phone ni simu ambazo hutumia fumo wa kikompyuta hivyo kuifanya iwe na uwezo wa kufanya baadhi ya kazi sawa na KOMPYUTA zingine. Kitendo hiki kinafanya ishirikiane na kompyuta zingine katika matatizo kwa mfano hili tatizo la "application is not responding" yaani kustak Tatizo hili hutokewa wakati simu yako inaposhindwa kufanya ulichoiagiza kama unapofunguwa baadhi ya application nzito kama GAMES.Kuna sababu kadhaa zinadaiwa kuwa ndio chanzo cha tatizo hili ila nitataja moja katika zile alizozitaja Mr. Mehul Rajput ambayoni INCORRECT MEMORY & CPU USAGE.Kwa ujumla hapa kinachozungumziwa ni matatizo katika storage au memory ya simu yako pamoja na matatizo katika utendaji wa CPU ya simu yako. Hivy pindi simu yako ikianza tatizo hili huenda miongoni mwa sababu hizi zikawa ni moja wapo.Jinsi ya kutatuwa tatizo hili:zipo njia kadhaa abazo kitaalamu zinashauriwa kutuia kwa ajili ya kukabiliana na ratizo hili kama vile:-1.Hakikisha memory yako katika simu ina nafasi ya kutosha. Ikumbukwe kuwa hapa tunazungumzia zaidi memory ya ndani ya simu INTERNAL MEMORY.unaweza ukafuta baadhi ya data au kuclean simu yako2.Futa data katika application yako. Kama umefunguwa application kisha simu ikakuandikia epllication is not responding nenda kwenye setting za simu yako kisha storage kisha application kisha chaguwa applicatuin hiyo kisha itach kwa muda kisha katika menyu itayokuja chaguwa "CLEAN DATA" kisha maliza na ok.3.Uninstall application zote ambazo hauzitumii hususan zile ambazo zinachukuwa nafasi kubwa katika memori yako. kwa maelezo namna ya ku uninstall4.UPDATE application zako unaweza ukatumia playstore na kuapdate application zako.hili litasaidia kupunguza tatizo kani pindi application utakapoziapdate zitakuwa kama zimeingizwa upya.5. Restart simu yako. Kurestart simu yako kutakufanya uendelee kuitumia simu yako kwa uzuri, kwani itakuwa imejirifresh.6.RESTORE au fanya FACTORY RESET: kitendo hiki kinaweza kuifanya simu yako isirudie kukuletea tatizo hili kwa muda mrefu kidogo. Lakini kama tatizo ni sirias sana huenda isichukuwe muda kurejea.7.Nenda ukaiflash simu yako kwenye kopyuter.Kama tatizo limeendelea jambo la mwisho la kukusaidia ni kuiflash simu yako kwa kutumia kompyuta. Sikuhisi wapo wanaodai wanaflash lakini wanatumia batan za simu yenyewe kwa kuirestore, japo kitendo hiki kinapunguza tatizo lakini sio sawa na kuiflash.

 

 

Hutokea wakati mtumiaji wa simu au kompyuta akapoteza data zake lamfa kwa jizifuta au kwa kufomat. pia inaweza kuwa zimefutwa kwenye menori ya nje yaan external memory au kwenye flash.Hivyo katika makala hii tutakuonesha jinsi ya kuzirudisha data hizo. Kwa kawaida kurudisha data hizi sio kazi ndogo hatakidogo kwani kadri muda wa ulipozifuta uanpoendelea kwenda ndo ugumu wa kuzirudisha unawezekana. Au kwa mtumiaji wa kompyuta kama atabadilisha windiw ugumu wa kurudisha data hizi huzidi halikadhalika mtumiaji wa simu kama atarestore simu yake itakuwa viguu data hizi kupatikana kwa usahihi wake. na mtumiaji wa flash kama ataifomat pia itatwia vigumu kuzirudisha data hizo. H ebu sasa tuone jinsi ya kurudisha data zako zilizopotea.






           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Teknolojia Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1227


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Simulizi za Hadithi Audio     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Je nitumie simu yangu wakati inachaji?
Somo hili linakwenda kujibu swali la je nitumie simu yangu wakati inachaji Soma Zaidi...

Jinsi ya kutuma sms ndefu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kutuma sms ndefu Soma Zaidi...

Kujaa kwa memory au hard disc
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vitu vya kufanya endapo memory au hard disk itajaa Soma Zaidi...

Kurudisha data zilizo potea
Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta.. Soma Zaidi...

Maana ya legacy contact katika Facebook
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana ya legacy contact katika facebook Soma Zaidi...

Kama simu a computer yako inastack
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kufanya endapo simu yako au computer itastack Soma Zaidi...

EPUKA MALWARE (VIRUSI, WORM NA TROJAN UKIWA MTANDAONI)
Malware ni neno pana na watu wengi si wenye kulitumia. Soma Zaidi...

Kulinda account yako ya Facebook dhidi ya waharifu wa kimtandao
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kulinda account yako ya Facebook dhidi ya waharifu wa kimtandao Soma Zaidi...

JE NITUMIE SIMU YANGU WAKATI INACHAJI?
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza swali hili. Soma Zaidi...

JIFUNZE KUFUNGUA EMAIL KWA USAHIHI
Soma Zaidi...

TEKNOLOJIA NA MAWASILIANA
1. Soma Zaidi...

Jinsi ya kutoa pesa ClipClaps kwa Tanzania
Njia za kutoa pesa ClipClaps Soma Zaidi...