Kazi ya homoni ya testosterone

Posti hii inahusu zaidi kazi ya homoni ya testosterone, hii homoni kwa kiwango kikubwa ukutwa kwa wanaume ndiyo homoni ambayo umfanya mwanaume aonekane jinsi alivyokuwa na sifa zake zote.

Kazi ya homoni ya testosterone.

1. Hii homoni uzalishwa kwa kasi na na kuanza kutumika au kufanya kazi kipindi cha kuanza kubarehe ni tofauti na kwa msichana ambapo homoni inayomfanya msichana kuonekana alivyo uanza kufanya kazi pale anapotungwa mimba.

 

 

 

2. Homoni hii uimarisha misuli yote ya mwili ya mvulana.

Kwa kawaida mtoto wa kiume akianza kubarehe misuli yote ya mwili uweza kuimarika na kutanuka vizuri kwa hiyo kitendo hicho usababishwa na homoni ya testosterone.

 

 

 

3. Kuimarisha kiwango cha hisia za mwili.

Kwa sababu ya kuwepo kwa homoni hii ya testosterone usaidia kabisa kuongea hisia za mwili kwa sababu kama mvulana hajabarehe huwezi kuhisi au hawezi kuhisi hisia zozote za mwili wanaofanya wakati huo ni kwa sababu ya kuwepo kwa ulimbukeni kwa hiyo ni vizuri kabisa kutambua kwamba hisia hizo usababishwa na kuwepo kwa homoni ya testosterone.

 

 

 

 

4.pia homoni hii usaidia  kuimarisha kiwango cha kufanya tendo la ndoa.

Kwa sababu mtoto wa kiume akianza kubarehe ndipo huwa na hisia za kuanza kufanya tendo la ndoa kwa kufanya hivyo ni vizuri kabisa kutambua kwamba ni kazi ya homoni ya testosterone na wanaofanya kabla ya kubarehe ni uenda wazimu au kuigiza tu.

 

 

 

 

 

5. Kuimarisha uzito wa mifupa.

Kwa kawaida wakati wa kubarehe ukifika na mabadiliko uwapo mengi mwilini kwa kufanya hivyo usababishwa na homoni ya testosterone ambapo kifua kuongezeka sana na kusababisha mifupa kuimarika.

 

 

 

 

6. Kuratibisha uzalishaji wa seli hai za damu.

Pamoja na kufanya mambo ya mabadiliko kimwili kwa mtoto wa kiume pia usababisha kuwepo kwa uzalishaji wa kiwango cha juu cha seli hai za damu.

 

 

 

7. Kuratibisha uzalishaji wa mbegu za mwanaume.

Kwa kawaida mbegu za mwanaume uzalishwa mara nyingi na kwa wakati tofauti kwa hiyo ni vizuri kabisa kufahamu kwamba hiyo ni kazi ya homoni ya testosterone



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/16/Saturday - 03:04:34 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1532


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-