image

Kazi ya metronidazole

Posti hii zaidi kazi ya Dawa ya metronidazole katika kutibu Minyoo, ni aina ya Dawa ambayo imetumiwa na watu wengi wakaweza kupona na kuepukana na minyoo. Zifuatazo ni baadhi ya kazi za metronidazole.

Kazi za metronidazole.

1. Metronidazole ni mojawapo ya dawa ambayo imependekezwa katika kupambana na aina mbalimbali za minyoo, dawa hii iko katika mifumo mbalimbali, kama vile vidonge vya kawaida, kwenye maji maji ambayo utumiwa sana na watoto na pengine kwenye mfumo wa gel, pamoja na kuwa kwenye mifumo mingi mfumo ambao utumika sana ni vidonge, dawa hii ya metronidazole inayotolewa kwa njia ya vidonge  umengenywa na kufanya kazi kuanzia saa moja mpaka matatu.

 

2.Dozi ya dawa ya metronidazole kwa watu wazima ni milligram mia nne mara tatu kwa siku kwa kawaida utolewa kwa siku saba na kwa watoto ni milligram saba na nusu kwa kila maasaa manane dozi hii utolewa kwa njia ya vidonge. Na pia dawa hii inaweza kupitia kwenye njia ya haja kubwa ambayo kwa kitaalamu huitwa by rectum, ambapo gramu moja utolewa kwa masaa manane ndani ya siku tatu na baadae gram moja kila baada ya masaa kumi na mawili hii ni kwa watu wazima.

 

3. Na kwa watoto ni kila baada ya masaa manane kwa siku tatu, tena baadaye kila baada ya masaa kumi na mawili kwa umri kuanzia miaka zero mpaka mwaka mmoja na milligram yake ni mia ishirini na tano. Na kuanzia mwaka mmoja mpaka miaka mitano ni milligram mia mbili ishirini na tano, na kuanzia miaka mitano mpaka miaka kumi ni milligram mia tano na kuanzia miaka kumi na kuendelea ni gram moja. Hasa hasa njia ya kupitisha dawa hii kwa mgonjwa yeyote kwa njia ya haja kubwa ambayo uitwao by rectum wagonjwa hawa huwa wanashindwa kumeza au wana degedege.

 

4. Na kwa wakati mwingine dawa hii upitishwa kwenye mishipa ya damu ambayo kwa kitaalamu huitwa intravenous, ambapo mtu mzito upatata milligram mia tano kwa masaa manne na kwa mtoto Upata milligram saba na nusu kwa kwa masaa manne, njia hii ni nzuri kwa sababu dawa yote uenda moja kwa moja kwenye damu na kuweza kuleta matokeo mazuri mapema.

 

5. Dawa hii pia huwa na maudhi madogo madogo kama vile harufu mbaya kwenye mdomo, kizungu Zungu, maumivu ya kichwa, maumivu ya tumbo pia yanaweza kutokea na pia kuna angalisho katika kutumia dawa hii, mtumiaji hapaswi kuonja pombe hata kidogo wakati anapotumia dawa hii kwa sababu dawa hii uingiliana na pombe, kwa hiyo mtumiaji hapaswi kabisa kuonja pombe akiwa anatumia dawa ya metronidazole. Kwa hiyo dawa hii haipaswi kutumiwa kiholela masharti na ushauri wa daktari unapaswa kuzingatiwa.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 4330


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Faida za uzazi wa mpango kwa jamii
Posti hii inahusu zaidi faida za uzazi wa mpango kwa jamii, tunapaswa kujua kuwa uzazi wa mpango ukitumiwa vizuri na jamii nayo inapata faida kwa hiyo zifuatazo ni faida za uzazi wa mpango kwa jamii. Soma Zaidi...

Mambo ambayo mama anapaswa kujua akiwa mjamzito
Posti hii inahusu zaidi mambo anyopaswa kujua akiwa mjamzito. Ni mambo muhimu ya kuzingatia kwa mama akiwa mjamzito. Soma Zaidi...

Uchafu unaotoka ukeni na rangi zake.
Posti hii inahusu zaidi uchafu unaotoka ukeni na rangi zake, kwa kawaida ukeni utolewa uchafu, uchafu huo unaweza kuwa kawaida na unaweza kuwa na rangi mbalimbali kutokana na kuwepo kwa Maambukizi. Soma Zaidi...

Fahamu sifa za Ute wa siku za kupata mimba yaani ovulation day
Posti hii inahusu zaidi sifa za Ute wa ovulation, ni Ute ambao utokea siku za ovulation yaani siku ambazo ni tayari kwa kubeba mimba, yaani siku za upevishaji wa yai. Soma Zaidi...

Mabadiliko kwenye mfumo wa chakula kwa wajawazito.
Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye mfumo wa chakula kwa wajawazito, ni mabadiliko ambayo utokea kwa wajawazito hasa kwenye mfumo wa chakula. Soma Zaidi...

Zijue mbegu za kiume zilizo bora.
Posti hii inahusu zaidi mbegu ambazo ni nzima na ambazo zina sifa ya kutungisha mimba kwa hiyo mbegu hizi utazigundua kwa kuwa na sifa zifuatazo. Soma Zaidi...

Njia za kuondoa fangasi sehemu za siri
Makala hii itakujuza baadhi ya njia utakaoweza kuzifuata ili kukabiliana na fangasi sehemu za siri kwa wanaume Soma Zaidi...

Je kitunguu saumu kina madhara kwa Mgonjwa wa figo?
Nimesoma makala yenu, sasa nina swaliJe kitunguu saumu kina madhara kwa Mgonjwa wa figo? Soma Zaidi...

Maumivu ya uume baada ya tendo la ndoa
Utajifunza sababu za kuweo kwa maumivu ya uume wbaada ya tendo la ndoa na wakati wa tendo la ndoa. Soma Zaidi...

Dalili ya mimba ya wiki moja(1)
Mwanaume na mwanamke wanapo kutana na kujamiina kama mwanamke yupo kwenye ferlile process ni rahisi kupata mbimba. Sparm Zaid ya million moja huingia kwenye mfuko wa lakin sparm moja ndio huweza kuingia kwenye ovum(yai)lakin nyingine hubaki kwenye follopi Soma Zaidi...

Faida za uzazi wa mpango kwa watoto.
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa uzazi wa mpango kwa watoto, sio akina Mama peke yao wanaofaidika na uzazi wa mpango vile vile na watoto wanafaidika na uzazi wa mpango kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua.
Posti hii inaelezea kiufupi kabisa kuhusiana na Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua. Soma Zaidi...