image

Kazi ya Piriton

Posti hii inahusu zaidi kazi ya Piriton katika kutibu mzio au akeji ni dawa ambayo kwa lingine huitwa chlorpheniramine Maleate.

1. Piriton ni mojawapo ya dawa ambayo utibu mzio  kama wa mafua, ufanya kazi kwa kumletea mtu yeyote mwenye mafua na kusababisha kupona kuweza kuendelea huku mgonjwa akiwa amesinzia na baadae kama siku tatu kama mta anatumia Piriton anapona na kuendelea na kazi zake za kawaida.

 

2.Hii dawa huwa ipo katika mfumo wa vidonge , ambapo kila kidonge huwa na  4mg. Kwa mtu anayetumia 4mg anatumia kwa masaa  sita au masa nane ukiwa na chakula au baada ya kuchukua chakula  kiwango cha kawaida kwa mtu kwa mzima kiwango cha kawaida ni 24 mg kwa mtu mzima.

 

3.Dozi ya mtoto utofautiana kulingana na umri wa mtoto  kuanzia mwaka mmoja mpaka miaka miwili  mtoto anatumia milligram moja kwa siku, kuanzia miaka miwili mpaka mitano mtoto anatumia milligram moja  kwa masaa manne mpaka sita  kiwango cha kawaida ni millgramasita kwa kawaida, kuanzia miaka sita mpaka kumi na miwili  mtoto anatumia milligram mbili kuanzia masaa manne mpaka sita kiwango cha kawaida ni milligram kumi na mbili.

 

4. Pamoja na matumizi ya kawaida sawa hii ya Piriton haitumiwi kwa baadhi ya wa watu kama vile watoto waliozaliwa wakiwa mjini, watoto wadogo waliozaliwa na wale walio na matatizo ya kifua hasa Asthma kwa hiyo tunapaswa kuwa makini  ili tusiweze kuleta madhara zaidi kwa hiyo wazazi na walezi wawe makini katika watoto wadogo wasije kupata matatizo mbalimbali.

 

5. Kuna matokeo mbalimbali yanayoweza kujitokeza katika kutumia dawa hizi kama vile kupata usingizi, kushusha presha, na pengine kama mgonjwa amepewa kwenye mishipa ya damu anaweza kupata maumivu kwenye sehemu aliyopitishiwa sindano, kwa hiyo tunajua kuwa Piriton usaidia kutibu aleji au mzio kwa hiyo tunapaswa kuitumia kwa maagizo ya daktari na wataalamu mbalimbali wa afya na tusitumie kiholela dawa hii bali tupate ushauri kabla ya kuitumia.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 6407


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Faida za kiafya za kula kungumanga
Soma Zaidi...

Vyakula vyenye madini kwa wingi
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula vyenye madini kwa wingi Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Pensheni
Soma Zaidi...

Madhara ya kula chakula chenye chumvi nyingi
Posti hii inakwendavkukufundisha madhara unayoweza kuyapata unapokula chakula cgenye chumvi nyingi Soma Zaidi...

Faida za kula Nanasi
Nanasi ni katika matunda matamu lakini mazuri pia kiafya, je unazijuwa faida zake kiafya Soma Zaidi...

Faida za ubuyu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ubuyu Soma Zaidi...

Namna ya kuandaa mdalasini kwa ajili ya tiba.
Posti hii inahusu namna au njia za kuandaa mdalasini kwa ajili ya tiba ya homoni imbalance kwa wanawake. Soma Zaidi...

Faida za kula Palachichi
Palachichi lina virutubisho vingi na vitamini, kula palachichi uiokoe afya yako Soma Zaidi...

Faida za kula nanasi
Somo hili linakwenda kukuletea za kula nanasi na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...

vitamini B na makundi yake
Makala hii inakwenda kukuletea kazi za vitamini B, pia tutajwenda kuona makundi ya vitamini B na kazi za kila kundi. Pia makala hii inakwenda kukufundisha vyanzo na vyakula vya vitamini B. Utajifunza pia kazi kuu za vitamini B kw Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Mihogo
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za mchaichai/lemongrass
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mchaichai/lemongrass Soma Zaidi...