KAZI ZA HOMONI KATIKA MZUNGUKO HEDHI.


image


Post hii inahusu zaidi kazi za homoni katika Mzunguko wa hedhi, katika kipindi hiki kuna homoni mbalimbali ambazo ufanya kazi kama tutakavyoona.


Kazi za homoni katika Mzunguko wa hedhi.

1.Tunapaswa kujua kuwa homoni ni kemikali ambazo uzalishwa na glandi na kufanya kazi mbalimbali kwenye mwili, kwa hiyo kila homoni huwa ina kazi yake ambayo uifanya kama homoni hiyo haipo hakuna kitu ambacho kinaweza kufanyika, homoni inaweza kukosa kwa sababu mbalimbali kama vile Magonjwa na sababu nyingine nyingi.

 

2.Gonadotrophin homoni.

Hii ni homoni ambayo uzalishwa kwenye ubongo na kazi yake ni kuhakikisha kwamba follicle stimulating hormone na lutenizing homoni zinakuwepo kwa ajili ya kufanya yai likomae na baadae liweze kutolewa kwenda kwenye mrija kwa ajili ya kukutana na mbegu.

 

3.Lutenizing homoni.

Hii ni homoni ambayo kazi yake ni kuhakikisha kuwa yai likishakomaaimaa inalisafilisha kutoka kwenye ovari mpaka kwenye follapian tube au kwenye mirija kwa ajili ya kukutana na mbegu.

 

4.Follicle stimulating hormone.

Hii nayo ni homoni ambayo usaidia yai likue kwenye ganda lake na likishamaliza kukomaa utoa homoni ambayo inaitwa estrogen homoni.

 

5.Estrogen homoni hii ni aina ya homoni ambayo utokea baada ya kukomaa kwa yai na kazi yake uenda kwenye mlango wa kizazi na kujiimarisha na pia ufanya ute kubwa tayari kwa ajili ya kupitisha mbegu.

 

6.Progestron homoni.

Hii ni aina ya homoni ambayo uzaliwa baada ya kupasuka kwa yai kwa hiyo kazi yake ni kuimarisha mlango wa kizazi ili uweze kuwa tayari kwa kumpokea mtoto kama mimba itakuwa imetungwa kama haipo ndoa tunaona damu za kila mwezi.

 

7.Pia kuna homoni nyingine ambayo inawahusu wanaume hii inaitwa progesterone homoni ambayo usaidia  kuwepo kwa sauti ya kiume, uboo kusimama na sifa zote za kiume

 

 

 

 

 

 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    2 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    3 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    4 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya html kwa kiswahili    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Huduma ya Kwanza kwa mtu anayetokwa na damu ya pua
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu anayetokwa na damu ya pua Soma Zaidi...

image Dalili za madhara ya figo
Posti hii inahusu dalili za figo.figo husawazisha maji mwilini pamoja na kuchuja mkojo. Soma Zaidi...

image Dawa ya Isoniazid na kazi zake
Posti hii inahusu zaidi dawa ya lsoniazid nA kazi zake, ni dawa ambayo inasaidia kutibu kifua kikuu kati ya madawa yaliyoteuliwa na kuwa na sifa ya kutibu kifua kikuu. Soma Zaidi...

image Dalili za Saratani ya utumbo mdogo.
Posti hii inaonyesha ishara na dalili za Saratani ya utumbo mdogo Soma Zaidi...

image Dalili za Homa ya uti wa mgongo (meningitis)
Posti hii inahusu zaidi dalili za Homa ya uti wa mgongo, ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye maambukizi kwenye uti wa mgongo. Soma Zaidi...

image Dalili na ishara za anemia ya minyoo
Posti hii inshusiana na dalili za anemia ya minyoo Soma Zaidi...

image Dawa za kutibu kiungulia
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za kutibu kiungulia Soma Zaidi...

image Faida za seli
Posti hii inahusu zaidi faida za seli. Seli ni chembechembe hai za mwili ambazo hufanya kazi mbalimbali katika mwili wa binadamu. Soma Zaidi...

image Sababu za kumsafisha mgonjwa kinywa
Posti hii inahusu zaidi sababu za kumsafisha mgonjwa kinywa, Mgonjwa akiwa anaumwa na pia anakula chakula ni lazima asafishwe kinywa Ili kuweza kuepuka madhara mengine yanayoweza kujitokeza kwa sababu ya kuwepo kwa uchafu kinywani. Soma Zaidi...

image Aina za swala..
Nguzo za uislamu,aina za swala (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...