Kazi za madini ya Shaba mwilini.

Post hii inahusu zaidi madini ya Shaba mwilini,ni madini ambayo ufanya kazi mbalimbali mwilini, kama ifuatavyo

Kazi za madini ya Shaba mwilini.

1.Madini ya Shaba usaidia kutengeneza chembechembe za damu ambazo usaidia kulinda mwili kutokana na magonjwa kwa hiyo tunapaswa kula vyakula vyenye madini ya chuma Ili tuweze kujenga kinga ya mwili.

 

2.Madini ya Shaba usaidia kupunguza kiasi Cha kolestrol kwenye mwili, tunajua kuwa kuongezeka kwa kolesrol kwenye mwili usababisha madhara mbalimbali yanayoweza kuweka afya ya mwili kwenye hali ngumu kwa kuwepo madini ya Shaba kiasi Cha kolestrol kwenye mwili upungua 

 

3.Madini ya Shaba ulifanya mifupa kuwa Insta na isivunjike, tunajua kuwa kazi ya mifupa kwenye mwili wa binadamu ni kubwa mno, kwa ujumla nyama za mwili wa binadamu zimejishikisha kwenye mifupa kwa hiyo kazi ya mifupa ni kubwa mno katika mwili.

 

4.Madini ya Shaba ufanya kazi sana kwenye Neve za mwilini tunajua kabisa jazi za nerve ni kubwa mno mwilini bila nerve mawasiliano kutoka sehemu Moja kwenda nyingine ni shida kwa hiyo tunaona nerve zilizo na kazi kubwa mwilini so tunapaswa kutumia sana vyakula vya madini ya Shaba mwilini.

 

5. Madini ya chuma usaidia pia kwenye moyo na ubongo , kwa hiyo matumizi ya madini ya Shaba ni makubwa mno kwenye moyo na ubongo, kwa hiyo tunajua wazi kazi kubwa za ubongo na moyo kwa kufanya hivyo tunaweza kufanya system ya mwili kuwa vizuri.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021/12/08/Wednesday - 10:16:50 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2265


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Faida za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito
Posti hii inahusu zaidi faida za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito, kuna kipindi ambacho wanawake wakati wa ujauzito uchaguza vyakula mbalimbali kuna ambao wanaweza kutumia vitunguu saumu na kupata faida kubwa Soma Zaidi...

Vyakula vya vitamin C
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin C Soma Zaidi...

Faida za kula nanasi
Somo hili linakwenda kukuletea za kula nanasi na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...

Lishe salama kwa mjamzito
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu lishe salama kwa mjamzito Soma Zaidi...

Namna nzuri ya kuandaa mchai chai kwa matumizi mbalimbali
Posti hii inahusu zaidi namna nzuri ya kuandaa mchai chai kwa ajili ya matumizi mbalimbali, Ili kutumia mmea wa mchai chai zifuatazo ni mbinu za kuandaa mmea huu. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za parachichi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula parachichi Soma Zaidi...

Hasara za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito
Posti hii inahusu zaidi hasara za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito. Soma Zaidi...

Faida za mbegu za papai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mbegu za papai na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...

Vyakula vya protini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya protini Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula fyulisi/ peach
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/peach Soma Zaidi...

Ulaji wa protini kupitiliza
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za ulaji wa protini kupitiliza Soma Zaidi...

Umuhimu wa kutumia maharage kwa wingi
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kutumia maharage kwa wingi, maharage ni aina ya chakula ambacho upatikanaji wake ni rahisi na watu wengi hawajui kwa ulaji wa maharage una faida kubwa sana mwilini kwa hiyo tunapaswa kuangalia faida za maharage kama ifua Soma Zaidi...