image

Kazi za madini ya zinki

Posti hii inahusu zaidi juu ya madini ya zinki na faida zake katika mwili wa binadamu,

 

Kazi za madini ya zinki.

1. Madini ya zinki ni sehemu ya homone ya insulin ambayo usaidia kuhakikisha kuwa sukari Iko sawa kwenye mwili, kama Kuna sukari nyingi,hii homoni usaidia kupunguza na kukaa kwenye ini, na kama Kuna sukari kidogo kwa kuwepo hii homoni sukari iliyowekwa kama akiba kwenye inni ubadilishwa na kuanza kutumika upya.

 

2.Madini ya zinki ni sehemu ya enzyme mbalimbali,ambayo usaidia kufanya kazi mbalimbali kwenye mwili, kwa mfano wa enzyme ambayo inaitwa kwa kitaalamu carbonic anhydrase ambayo usaidia kusafirisha kusafilisha karbonidioxiside gasi kutoka kwenye sehemu mbalimbali za mwili mpaka kwenye mapafu kwa ajili ya kusafisha, na enzyme nyingine ambayo inaitwa kwa kitaalamu carboxypeptide kazi yake ni kusaidia katika kumengenya chakula na enzyme nyingine ambayo usaidia kumengenya Alcohol kwenye tumbo huitwa Alcohol dehydrogenase.

 

3.madini ya zinki usaidia kutengeneza nuclear acidi ambazo kwa kitaalamu huitwa DNA na RNA hizi acidi hukaa kwenye nuclear kazi yake kuu ni kutengeneza utu wa mtu kutokana na wazazi wa mtu na kazi nyingine ya hizi asidi ambazo ukaa katika nuclear usaidia katika kutengeneza protini ambayo ufanya shughuli mbalimbali kwenye mwili wa binadamu,kutokana na madini ya chuma tunaona kazi kubwa ya utu wa mwanadamu uchangiwa na madini ya chuma.

 

4.Madini ya chuma pia usaidia katika kuponyesha vidonda  hii ufanyika kwa kuwepo kwa sehemu mojawapo ya madini ya chuma ambayo kwa kitaalamu huitwa synthesis of collagen ambayo usaidia kuwepo kwa uponnyaji wa haraka wa kidonda, kama mtu ana wingi wa madini ya zinki mwilini kidonda chake upona haraka kuliko mtu yule ambaye ana kiasi kidogo Cha madini ya zinki.

 

5.Madini ya zinki  usaidia katika kutengeneza sehemu ya jicho ambayo kwa kitaalamu huitwa chorion membrane ni sehemu ya madini ya zinki sehemu hii ya jicho uzuia wadudu wasiingie kwenye jicho na pia Ina majimaji ambayo ulifanya jicho kupata chakula chake, kwa hiyo madini ya zinki usaidia sana katika shughuli za ulinzi wa jicho.

 

6. Madini ya chuma pia usaidia katika kutengeneza via vya uzazi vya mwanaume ambavyo kwa kitaalamu huitwa prostate gland ambazo usaidia kutengeneza majimaji mazito au Ute ambapo kwa kitaalamu huitwa mucus ambazo uchanganyika na mbegu za kiume na usaidia kusafilisha mbegu za kiume wakati wa kujamiiana.

 





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1028


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Lishe salama kwa mjamzito
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu lishe salama kwa mjamzito Soma Zaidi...

VYAKULA VYA VITAMIN NA MAJI
Zitambue aina zote za vyakule na ufanye maamuzi yaliyo kuwa sahihi katika uandaaji wa chakula chako Soma Zaidi...

Vyakula vya protini na kazi zake
Soma Zaidi...

Faida za kula viazi mbatata
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kunywa chai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa chai Soma Zaidi...

Fahamu tiba ya lishe ya ugonjwa wa kisukari
Post hii inahusu zaidi tiba ya lishe ya ugonjwa wa kisukari ni tiba ambayo utumiwa sana na wagonjwa wa kisukari na walio wengi na wamefanikiwa kupona Soma Zaidi...

Umuhimu wa kutumia maembe kiafya.
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kutumia maembe kiafya, tunajua wazi kuwa maembe ni tunda ambalo lina umuhimu kwenye afya na uwa na vitamini C kwa hiyo tunapaswa kujua faida zake kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula maboga
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maboga Soma Zaidi...

RANGI ZA MATUNDA
Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho Soma Zaidi...

ELIMU YA UJAUZITO, MIMBA NA KIZAZI
Soma Zaidi...

Yafahamu magonjwa nyemelezi kwa watoto chini ya miaka mitano
Posti hii inahusu zaidi magonjwa nyemelezi kwa watoto wadogo chini ya miaka mitano,. Ni magonjwa yanayowapata watoto wadogo kwa sababu kinga Yao bado ni ndogo. Soma Zaidi...

Faida za kula Matunda
Sifanjema Ni za Mwenyezi Mungu aliyetupa Afya njema hata kuifanya kazi hii mpaka kufiia hapa. Soma Zaidi...