Posti hii inahusu zaidi kazi za tunda la mpapai katika kurekebisha homoni.ni tunda ambalo ufanya kazi yake kwa sababu ya kuwepo kwa virutubisho muhimu ndani ya tunda hili.
1. Tunda la mpapai usaidia kurekebisha hedhi .
Ufanya hivyo kwa sababu ya kuwepo virutubisho vya carotene madini ya chuma, kalisiuma na vitamin A.
2. Virutubisho hivyo ufanya kazi mbalimbali kwenye via vya uzazi na kuleta ulaini Fulani ambao usababisha kuwepo kwa wepesi wakati wa hedhi na hivyo kupunguza maumivu wakati wa hedhi.
3. Wakati wa kutumia papai tumia kwa kiasi chake walau nusu papai kwa siku, pamoja na kusaidia kwenye homoni imbalance vile vile usaidia katika mfumo wa umengenyaji.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula uyoga
Soma Zaidi...Vyakula hivi vinaweza kuwa na hatai kwenye afya ya meno ama kuharibu kabisa meno.
Soma Zaidi...Vitamin C ni katika vitamin vinavyosaidia sana mfumo wa Kinga kulinda mwili dhidi ya vimelea vya maradhi. Hapa nitakuletea orodha ya matunda ambayo yana vitamini C kwa wingi.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula apple/tufaha
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/peach
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion
Soma Zaidi...