KILA KITU AMBACHO WANAUME WANATAKIWA KUFAHAMU KUHUSU WANAWAKE.


image


Hii ni siri kubwa kuhusu wanawake. Hapa utajifunza jinsi ya kumfanya mwanamke asikuache.


UBUNIFU NI MOJA KATIKA MAMBO MUHIMU KATIKA TEHAMA. 

Mwaka 1989 Alan Francis aliandika kitabu chake kilikuwa na kurasa 128. Kitabu hiki kilikuwa na kichwa cha habari kinachosema EVERY THING MEN KNOW ABOUT WOMEN. Kwa maana kuwa kila kitu ambacho wanaume wanaokunywa kuhusu wanawake. 

 

Kitabu hiki kilieleza kuwa kinakwenda kuelezea kila kotubkuhusu wanawake,  ikiwemo jinsi ya kuwaridhisha kitandani,  jinsi ya kumvutia,  jinsi ya kumuweka karibu na mengineyo. 

 

Kitabubkinaeleza kuwa mwandishi amefanya tafiti kwa muda mwingi hivyo ameamua kuvujisha siri hizo .

 

Kitabu hiko kinauzwa kwa dola 6 Amazon. Kitu cha ajabu juu ya kitabu hiki kurasa zake zote zilikuwa tupu. Yaani hakukuwa na maandishi. Kwa maana kuwa eidha mwandishi anaamini kuwa wanaume hawajui chochote kuhusu wanawake ama ni kitabu kilichoandaliwa kwa ajili ya kufurahisha tu ama kuchekesha. 

 

Lakini ukiachilia mbali kuwa kitabu hiki kitupu lakini kimekiwabkikinunuliwa sana kama zawadi kwa wapendanao ama kwa ajili ya siku ya kuzaliwa ama vinginevyo. Inasema kuwa watu wanaridhika kabisa kununua kurasa tupu. 

 

Kwa nini nimeandika historia hii :
Ukoangalia hapo ni ubunifu ndio uliofanya kitabu kuendelea kuwa na soko. Ukiachilia mbali kuwa kitabu hakituongezei taaluma ama ujuzi wowote lakini kinatupa furaha. Kwa ubunifu wa mwandishi watu wapo radhi kununua kitabubkitupu kabisa. 

 

Kwa mfano kama huu na sisi tukiwa wabunifu wa ujuzi mdogo wa Tehama ulio nao unaweza kukufokisha mbali anabkukuingizia kipato.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    2 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    3 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    4 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    6 Jifunze fiqh    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Utajiri wa baba na kifo chake
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

image Safari saba za sinbad
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za safari saba za Sinbad Soma Zaidi...

image Safari ya sita ya Sinbad
Posti hii inakwenda kukuletea muendelezo wa safari za Sinbad Soma Zaidi...

image Ndoa ya Siri yafanyika
Posti hii inakwenda kukuendelezea hadithi kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultan Soma Zaidi...

image Mwendelezo wa hadithi ya mahusiano ya vijana wawili
Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya mahusiano ya vijana wawili baada ya kuhamia shule mpya. Soma Zaidi...

image Safari ya pili ya Sinbad
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa safari saba za Sinbad Soma Zaidi...

image Jaribio la kwanza la aladini
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa hadithi ya aladini na taa ya ajabu Soma Zaidi...

image Ndani ya jumba la aladini
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa hadithi ya aladini na taa ya ajabu Soma Zaidi...

image Hatma ya kinyozi maishani mwangu
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

image Deni la mapenzi
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...