Kivimba kwa utando wa pua

Kivimba kwa utando wa pua

post hii inazungumzia kuhusiana na kuvimba kwa utando wa pua unaoonyeshwa na mchanganyiko wa dalili zifuatazo: Kupiga chafya Msongamano wa pua Muwasho wa kiwambo cha sikio Kuwasha kwa pua na koromeo Uvimbe huu hutokea ikiwa mashambulizi ya kupiga chafya,

 Ishara na Dalili za Uvimbe kwenye utandu wa pua Ni pamoja na;

1. Kupiga chafya.


2. Kuwasha (pua, macho, masikio na kaakaa)
 
3. Msongamano
 
4. Maumivu ya kichwa.

5. Maumivu ya sikio
 
6. Macho mekundu

7. Kuvimba kwa macho.

8. Uchovu.

9. Kusinzia.

10. Mwili kukosa nguvu ( Malaise)

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 2670

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
πŸ‘‰1 web hosting     πŸ‘‰2 kitabu cha Simulizi     πŸ‘‰3 Kitau cha Fiqh     πŸ‘‰4 Madrasa kiganjani     πŸ‘‰5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     πŸ‘‰6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

Nini husababisha maumivu ya tumbo chini ya kitovu kwa wanawake na wanaume

Somo hili linakwenda kukueleza vitu vinavyosababisha maumivu ya tumbo chini ya kitovu

Soma Zaidi...
Dalili za PID kwa wanawake

Kipindi cha baada ya yai kuachiliwa (ovulation) hadi kufikia tarehe ya hedhi inayofuata hujulikana kama Luteal Phase. Hapa ndipo wanawake wengi wanaotafuta ujauzito huanza kuchunguza mabadiliko ya miili yao. Makala haya yanajadili dalili za mapema za mimba zinazoweza kujitokeza siku chache baada ya ufertilishaji, jinsi ya kutofautisha dalili hizi na zile za hedhi ya kawaida (PMS), na ukweli wa kitaalamu kuhusu lini unapaswa kupima mimba

Soma Zaidi...
Undetectable viral load ni nini?

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana ya undetectable viral load

Soma Zaidi...
Madhara ya minyoo

Somo hili linakwenda kukuletea madhara ya minyoo

Soma Zaidi...
Chanjo Muhimu kwa Watoto Wachanga

​Chanjo ni kinga madhubuti dhidi ya magonjwa hatari ya utotoni. Post hii inatoa mwongozo kwa wazazi kuhusu umuhimu wa chanjo kwa watoto wachanga, ratiba zake, na jinsi zinavyosaidia kujenga kinga imara ya mwili.

Soma Zaidi...