Koo langu limekauka yaweza kuwa ni muadhirika?
kuwashwa na koo ni katika dalili za kuwa na maambukizi mwilini. Kuwa na maambukizi haimaanishi ni HIV ama UKIMWI laa hili ni neno pana. Hapa nitakujuza kwa ufupi kuhusu swali hilo la muulizaji kuwa anawashwa na koo.
SWALI
Koo langu limekauka yaweza kuwa ni muadhirika?
JIBU:
Kuwa shwa na koo ni dalili ya maradhi na huweza pia aikawa sio maradhi. Watu wengi wamekuwa wakidhani kuwa katika dalili za mwanzo za HIV ama UKIMWI ni kuwashwa na koo. Wengine wamekuwa wakiogopa sana pindi akiwashwa na koo baada ya kushiriki ngono zembe. Ha[pana hii sio sahihi. Kuwashwa na koo kunaweza kuwa hata sio jambo la kuhitaji uangalizi zaidi wa Daktari.
Sababu za kuwashwa na koo:-
1. Hali ya hewa kama kupata mavumbi
2. Mazingira kama kuwa katika mazingira ya mosho
3. Baridi kwa mfano aliyekula mbarafu ama juisi ya baridi sana anaweza kuwashwa na koo
4. maambukizi ya bakteria kwenye mfumo wa hewa
5. maambukizi ya Virusi kwenye mfumo wa hewa kama virusi vya Corona
6. Maambukizi ya virusi vinginevyo.
Je kuwashwa na koo ni dalili ya HIV na UKIMW?
Yes huweza ikawa i dalili ya maambukizi ya virusi vya HIV lendapo mtu alishiriki ngono zembe hivi karibuni na mtu aliyeathirika. Ama huwenda amepata virusi kwa njia nginginezo. Lakini itambulike kuwa katika daliki za mwanzo za HIV kuwashw akwa koo si sana kutokea. Hata hivyo hizi ni dalili tu zinaweza kuwa ni kitu kingine. Kinachotakiw ani kupata vipimo kwanza.
DALILI ZAMWANZO ZA HIV
1.kuvimba kwa tezi za kwenye makwapa, mapaja na shingo
2.Homa
3.Uchovu
4.Kuharisha
5.Kupungua uzito
6.Kikohozi
7.Pumzi kutoka kidogodogo
8.Mafua
DALILI ZA UKIMWI
1.kutokwa na jasho jingi wakati wa usiku
2.Kupata homa za mara kwa mara na kuhisi baridi
3.Kikohozi
4.Kushinwa kupumua vyema
5.Madoa madoa kwenye ulimi na mdomoni
6.Maumivu ya kichwa
7.Uchovu usiokuwa na sababu na usioisha
8.Kutokuona vyema
9.Kupungua uzito
10.Mapele na ukurutu kwenye ngozi
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Usafi wa ukeni: Njia sahihi za kuepuka fangasi.
Fangasi wa ukeni (Vaginal Candidiasis) ni tatizo linalotokana na ukuaji wa kupita kiasi wa vimelea aina ya Candida. Ingawa uke una uwezo wa kujisafisha wenyewe kwa kutumia bakteria rafiki (Lactobacilli), mabadiliko ya mazingira ya uke yanaweza kuvuruga uwiano huo na kusababisha maambukizi. Makala hii inatoa mwongozo wa kitaalamu kuhusu namna bora ya kutunza usafi wa uke ili kuzuia fangasi na kudumisha afya ya uzazi.
Soma Zaidi...Njia za kujilinda na kujikinga na UTI
Somo hili linakwenda kukuletea njia za kujilinda na kujikinga na UTI
Soma Zaidi...DALILI ZA SELIMUDU
Posti hii inazungumzia ishara na dalili za SELIMUDU ambao kitaalamu huitwa Sickle cell Anemia.selimudu ni aina ya kurithi ya Anemia — hali ambayo hakuna chembechembe nyekundu za damu zenye afya za kutosha kubeba oksijeni ya kutos
Soma Zaidi...Dalili za jipu la jino.
Jipu la jino ni mfuko wa usaha unaosababishwa na maambukizi ya bakteria. Jipu linaweza kutokea katika maeneo tofauti ya jino kwa sababu tofauti.
Soma Zaidi...Athari za unywaji wa pombe kupita kiasi kwenye Ini.
Ini ni kiungo cha ajabu chenye kazi nyingi, ikiwemo kusafisha sumu mwilini, kutengeneza protini, na kusaidia mmeng'enyo wa chakula. Hata hivyo, ini lina uwezo mdogo wa kuhimili kiasi kikubwa cha pombe. Unywaji wa pombe kupita kiasi hauumizi tu "roho" ya mtu, bali husababisha uharibifu wa kimwili kwa ini ambao unaweza kuwa wa kudumu. Makala haya yanaelezea mzunguko wa uharibifu huo na kwa nini ni muhimu kuelewa hatari hizi.
Soma Zaidi...