Kuhifadhiwa kwa Quran
Quran (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Kuhifadhiwa kwa Qur’an.
- Mtume (s.a.w) aliwaamrisha maswahaba wake kujifunza na kuifahamu Qur’an na kuihifadhi moyoni.
- Mtume (s.a.w) aliteuwa baadhi ya maswahaba kuiandika Qur’an ilipokuwa inashuka.
- Kuhifadhiwa kwa kusomwa mara kwa mara.
- Qur’an pia ilihifadhika kwa kusomwa mara kwa mara katika ibada za swala.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
π1 kitabu cha Simulizi π2 Simulizi za Hadithi Audio π3 web hosting π4 Bongolite - Game zone - Play free game π5 Kitau cha Fiqh π6 ai web app
π1 kitabu cha Simulizi π2 Simulizi za Hadithi Audio π3 web hosting π4 Bongolite - Game zone - Play free game π5 Kitau cha Fiqh π6 ai web app
Post zinazofanana:
Maandalizi ya hijrah ya mtume na waislamu kuhamia madinah
Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Kazi alizokuwa akizifanya Mtume Muhammad s.a.w kabla ya utume.
Historia na sifa ya Mtume Muhammad s.a.w , sehemu ya 14. Hapa utajifunza kuhusu kazi alizozifanya Mtume s.a.w Enzo za ujana wake kabla ya utume.
Soma Zaidi...