Somk hili linakwenda kukueleza kuhusu Mambo mbalimbali yahusuyo HIV na UKIMWI
KUHUSU HIV NA UKIMWI
VVU ni kifupisho cha Virusi Vya Ukimwi. Kwa lugha ya kiingereza huitwa HIV kwa kurefusha ni Human immunodeficiency virus. Hivi ni virusi vinavyovunja na kuharibu uwezo wa mwili kujilinda dhidi ya maradhi na vijidudu vinavyoambukiza maradhi. Baada ya VVU kuingia mwilini na kuharibu kinga ya mwili, hupelekea kupata upungufu wa kinga mwilini ama hutwa UKIMWI.
Kuna aina kuu mbili za VVU navyo ni HIV-1 na HIV-2. aina ya kwanza ndiyo ambayo imeathiri watu wengi na ndio inayopelekea mgonjwa kupata madhara makubwa. Hii aina ya pili inapatikana Africa ya magharibi. Aina ya kwanza ndiyo ambayo imeenea karibia dunia nzima
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Minyoo ni katika parasite, yaani ni viumbe wanaokaa kwenye mwili na kujipatia chakula chake humo. Katika miili yetu minyoo huishi na kula kuzaliana na kukuwa. Kama unahitaji kujuwa wapi hasa wanakaa mwilini mwetu, endelea na makala hii
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za presha ya kushuka
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za saratani ya ini, ni baadhi ya Dalili ambazo zinaweza kujitokeza na kuona kwamba mtu fulani ana saratani ya ini.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kuweza kupambana na fangasi za ukeni ili kuweza kujiepusha na madhara mbalimbali kwenye maisha ambayo ni pamoja na ugumba na Maambukizi kwenye via vya uzazi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Maambukizi kwenye mifupa ambayo kwa kitaalamu huitwa Osteomyelitis, ugonjwa huu uaribu zaidi kwenye mifupa na sehemu nyingine ambazo zinakaribia kwenye mifupa
Soma Zaidi...Madonda ya tumbo ni ugonjwa unaotokana na kuwepo kwa vidonda kwenye Koo, tumboni na kwenye utumbo mdogo
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea ikiwa matibabu kwenye nyonga na kiuno hayatafanyika.
Soma Zaidi...