Kujaa kwa memory au hard disc

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vitu vya kufanya endapo memory au hard disk itajaa

KUJAA KWA MEMORY AU HARD DISK:Tokeo la picha la full meoryHili ni jambo jingine linaloifanya kompyuta au simu yako kuwa slow.Pindi hard disk inapokuwa imejaa inapelekea kommpyuta yako kuwa slow halikadhalika simu yako kama memori itakuwa imejaa pia hupelekea simu yako kuwa slow kama tulivyozungumzia hili katika post zilizopita.Jambo la kufanya hapa ni kuhakikisha kuwa kifaa chako kina nafasi ya kutosha. Pia punguza au futa CACHED DATA kwa aelezo zaidi katika hili bofya hapa.Ama cached data kwa watumiaji wa kompyuta utahitajika kuclean kompyuta yako kama pia unaweza kutumia baadhi ya software kwa ajili ya kuclean kompyuta yako ila hapa unatakiwa uwe makini unaweza kufuta data zako. kupata software huzo unaweza kufuata linki hii hapa bofya hapa.5.MATATIZO KATIKA HARD DISK:Hard disk ni kifaa cha kuhifadhia kumbukumbu katika kompyuta. Pia ijulikane kuwa window tunazozitumia huwa zinahifadhiwa katika hard disk. hivyo tatizo lolote litalotokea katika hard disk linaweza kuathiri mfumo mzima wa utendaji wa kazi wa kifaa chako.kikawaida hard disk ikiwa na matatizo inazungunza yenyewe kwa kukuletea warning yaan onyo kuwa hard disk yako inamatatizo hivyo ubackup data zako ili zisije kupotea pindi ikiharibika kabisa. Pia tutambuwe kuwa itapoharibika hard disk hakuna na,na ya kuzipata data zilizokuwa mule hivyo kila ambacho kimo kitapotea.jambo la msingi hapa nji kuwahi kubadili hard disk yako. pia pindi ukipata onyo hilo uwahi kuzihamisha data zako kwenda sehemu salama zaidi. Muone fundi wa hard ware akubadilishie hard disk yako kama inakupa warning. Kitu cha msingi hapa ni kuhakikisha unanunuwa disk mpya kutoka dukani kwani za kunu nua kwa watu kuenda ikawa na matatizo pia.6.KUWA NA ADD-ONS NYINGI KATIKA KIVINJARI CHAKO CHA TOVUTI:Hizi ni EXTENSIONS ambazo husaidia kivinjari chako yaan internet browser kuweza kufunguwa baadhi ya web kwa kutumia shotkat (njia ya mkato) na kuweza kufanya kazi moja kwa moja bila ya kuingia website yenyewe. Au ni software ambazi hujishikiza katika kivinjari cha inatanet kwa lengo la kufanya kazi zinazohitaji internet kwa urahisi na uharaka zaidi.Tokeo la picha la add-onsHizi extention sio zote zimetengenezwa kukusaidia kufanya kazi za kukurahisishia katika kubrows bali zimekuwa zikileta pop yaani vijiatangazo ambavyo vinaweza kuishughulisha kompyuta yako na kuwa nzito. wakati mwingine hiz add-ons zinaweza kukuunganisha katika website ambazo hukukusudia kuingia au kudaunlod software kioutomatik.Kitu ch kufanya hapa ni kuhakikisha unaziondowa adds zote ambazo hauzitumii, na kama tatizo likiendelea ni vizuri zaidi kuzitowa zote katika kivinjari chako. Jinsi ya kuzitowa inategemea na aina ya kivinjari chako ila kitu cha kuziingatia ni kuingia katika menu ya kivinjari chako kisha tafuta neno EXTENTION kisha delet zote.Huu ndo ukamilisho wa mada yetu iliyokuwa ikihusu mambo yanayosababisha kompyuta au simu yako kuwa slow. Kupata nukuu zilizopita bofya hapa.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-11-09     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1253


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Mafunzo ya database mySQl database somo la 11
huu ni muendelezo wa mafunzo ya Database klwa kutumia MySQL na hili ni somo la 11. katika somo hili tutaendelea kujifunza mpangilio wa muonekano wa data kwenye database. Soma Zaidi...

Mafunzo ya HTML Level 2 somo la 5 (HTML FULL COURSE FOR BEGINNERS LESSON 5)
Karibu tena katika mafunzo haya ya html level 2 na hili ni somo la 5. Katika somo hili utajifunza zaidi kuhusu kuweka style kwenye html file. Soma Zaidi...

Njia rahisi ya kudownload video YouTube
Posti hii inakwenda kukuelekeza kuhusu njia rahisi ya kudownload video YouTube Soma Zaidi...

Dalili za mimba kuanzia siku 7 Hadi 14
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba kuanzia siku 7 Hadi 14 Soma Zaidi...

WIKIBONGO NI NINI?.
Bila shaka umekuwa ukijiuliza sana kuhusu wiki bongo hasa ni kitu gani. Hapa upo mahala sahihi. nitakwenda kukueleza hasa ni nini maana ya hili neno "wikibongo". Soma Zaidi...

Magonjwa ya moyo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu magonjwa ya moyo Soma Zaidi...

Mafunzo ya HTML level 1 somo la 8 (HTML basic level FOR BEGINNERS)
Katika somo hili la 8 mafunzo ya html level 8 utajifunza jinsi ya kuhost project ya html na kuwa live, watu wakaipitia na kusoma maudhui yake. Soma Zaidi...

Mafunzo ya HTML kwa wenye kuanza (basic level)
Huu ni utangalizi wa mafunzo ya HTML kwa wenye kuanza level ya kwanza kwa lugha ya kiswahili. Haapa utapata msingi wa kuweza kutengeneza tovuti na blog. Soma Zaidi...

Mafunzo ya Database MySQL database somo la 10
Huu ni muendelezo wa mafunzo ya Database kwa kutumia MySQL na hili ni somo la 10. katika somo hili tutakwenda kuendelea namna ya kupangilia muonekano wa data zako kwenye database. Soma Zaidi...

OUR PRIVACY POLICIES.
Soma Zaidi...

Matumizi ya OCR katika simu yako
Somo Hili linakuleteq mafunzo ya OCR katika simu yako Soma Zaidi...

WAKATI WA KUFUMBUKA SEHEMU YA 1
Post hii inahusu zaidi hadithi mpya na nzuri inayoitwa wakati wa Kufumbuka, ni hadithi inayohusu maisha ya kawaida ambapo watu ushindwa kudhamini watu wa karibu nao na kuona watu wa mbali ndio wenye maana ila shida zikifika ndipo wanaona umuhimu wao. Soma Zaidi...