KUMKAFINI (KUMVISHA SANDA MAITI)


image


Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)


Kumkafini (Kumvisha Sanda) Maiti. 

  • Mazingatio juu ya Sanda.

-    Ni sunnah kutumia nguo nyeupe.

    ‘Ibn Abbas amesimulia kuwa Mtume wa Allah (s.a.w) amesema: 

“Vaeni nguo nyeupe, kwa sababu hili ni vazi lenu lililo bora kuliko yote, na wakafinini maiti wenu kwa nguo (nyeupe)”

            (Abu Daud, Tirmidh na Ibn Majah)

 

-    Pia sanda isiwe nguo ya gharama.

‘Ali (r.a) amesimulia kuwa Mtume wa Allah amesema: 

“Msigharamie sana nguo za sanda, kwani inakwenda kuozeana (kaburini)” 

                (Abu Daud) 

 

-    Hajji akifa akiwa katika vazi la Ihram (Hija), vazi hilo ndio litakuwa sanda yake.

‘Abdullah bin Abbas amesimulia kuwa mtu mmoja alikuwa pamoja na Mtume (s.a.w) ngamia wake alimkanyaga, wakati akiwa anahiji mpaka akafa, Mtume wa Allah akasema: 

“Muosheni na maji na majani ya mkunazi na mumkafini kwa hayo mashuka yake mawili, msimpake manukato na msimfunike kichwa chake …….”  

                                          (Bukhari na Muslim )

 

-    Ukubwa wa sanda unategemeana na ukubwa wa maiti.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    2 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Aina za hadithi
Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Masharti ya utoaji wa zakat na sadaqat
Nguzo za uislamu, masharti ya utoaji wa zakat na sadaqat (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Vituo vya kunuia hijjah au umrah
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Suratul-takaathur (102) imeteremshwa makkah Ina aya nane
Quran (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Kusimamisha swala.
Kwenye kipengele hiki tutajifunza maana ya swala ni nin?. Na masharti ya swala. Soma Zaidi...

image Elimu yenye manufaa
Elimu yenye manufaa Ni ipi? (EDK form 1:elimu yenye manufaa) Soma Zaidi...

image Nguzo za uislamu
Katika kipengele hiki tutajifunza nguzo za uislamu.aina tano za nguzo za uislamu,dhana ya nguzo za uislamu,lengo na umuhimu wa nguzo za uislamu Soma Zaidi...

image Zoezi la 3
Kipengele hichi kina maswali mbalimbali kuhusiana na dini na mitazamo mbalimbali. Soma Zaidi...

image Malezi ya mtume
Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Maadui wakubwa wa dola ya uislamu madinah
Dola ya uislamu madinah (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...