Posti hii inahusu hasa jinsi uchafu, wadudu na vitu vingine vinavyoweza kuingia machoni.macho ni mojawapo ya milango mitano ya fahamu ambapo kazi yake ni kuona.
Vitu vinavyoweza kuingia machoni ni pamoja na
1.wadudu
2.kemikali
3.gasi
4. Vumbi
5.vitu vyenye ncha kali kuingia jichoni
Dalili zinazoweza kujitokeza iwapo mtu akiingiwa na kitu jichoni
1. Macho kuuma
2. Macho kutoa machozi
3. Macho kuwasha
4. Macho kuwa mekundu
5. Macho kushindwa kufunguka
Tufanyeje Ili tuweze kuepuka vitu na uchafu kuingia machoni?
1. Tusafishe macho kila mara Ili kuondoa uchafu kama umeingia
2. Kuepuka kucheza kwenye gesi hasa kwa watoto bila sababu
3.tuwe na tahadhari kubwa pale tunapotumia kemikali
4. Kwa wale wanaochomelea wavae miuani Yao Ili kuepuka takataka na uchafu kuingia machoni.
Angalisho
_ kama Kuna kitu chochote kimechoma kwenye jicho na kinaonekana hurusiwi kukitoa mpaka hospitalini ndo wakitoe kwa sababu hujui kimeshikilia wapi inaweza kukitoa ukasababisha matatizo mengine makubwa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi matokeo ya maambukizi kwenye milija na ovari, ni matokeo apatayo mtu mwenye maambukizi kwenye milija na ovari.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kuyatunza macho
Soma Zaidi...Hii post inahusu zaidi kazi za wahudumu wa afya wakati wa kutoa dawa, ni kanuni zinazopaswa kufuata wakati wa kutoa dawa kwa wagojwa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi umuhimu wa uterusi, ni mfuko unayosaidia kumtunza mtoto akiwa tumboni mwa mama yake.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vitamin
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo mbalimbali ambayo husababisha kizunguzungu.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi athari za kutotibu vidonda, hizi ni athari mbalimbali ambazo zinaweza kutokea ingawa kama vidonge haujatibiwa au vimetibiwa kwa kuchelewa.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ambavyo mwili unapambana na maradhi
Soma Zaidi...