KUVUNJIKA KWA MTOTO WAKATI WA KUZALIWA.


image


Post hii inahusu zaidi kuvunjika kwa mtoto wakati wa kuzaliwa, hali hii utokea kwa watoto wadogo wakati wa kuzaliwa kwa sababu maalum kama tutakavyoona.


Kuvunjika kwa mtoto wakati wa kuzaliwa.

1. Wakati wa kuzaliwa kuzaliwa kuna kipindi mtoto anaweza kuvunjika anaweza kuvunjika sehemu mbalimbali kama vile  kwenye mabega, kwenye sehemu za mikono na miguu hali ambayo usababisha kulemaza kwa mtoto na kusababisha kwa baadhi ya viungo kushindwa kufanya kazi zake.

 

 

2. Kwa kawaida mtoto kama amezaliwa sio rahisi kumwona mara moja kama amevunjika au kutenguka tunaweza kuona baada ya mtoto kukaa kwa mda inawezekana ni siku moja au mbili kwa sababu ukimshika mtoto anaweza kuanza kulia kwa hiyo ni vizuri kabisa kumwangalia mtoto pindi anapozaliwa ili kuweza kutambua sehemu mbalimbali ambazo zimekuwa na matatizo.

 

3. Hali hii utokea kwa sababu mbalimbali ambazo ni pamoja na mtoto kama amekaa vibaya tumboni au ametanguliza sehemu ambayo humfanya kuvunjika.

 

 

4. Ni vizuri kabisa kuwaangalia watoto wadogo pindi wanapozaliwa ili kuwahi na kuepuka ulemavu wa kudumu.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    4 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    5 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    6 Magonjwa na afya    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Mwenye ujauzito wa wiki moja na ana u.t.i anaweza kutumia dawa za aina gani ambozo zitakua salama kwa kiumbe kilichoanza kukua?
Ujauzito unaweza kutoka kwa sababu nyingi kama maradhi, madawa, vyakula na ajali. Unawezakutoa mimba bila kujuwa amakwakujuwa. Damu kutoka ni moja ya dalili za kutoka kwa mimba hata hivyo maumivu ya tumbo huweza kuandamana na damu hii. Soma Zaidi...

image Sababu za mtoto kuzaliwa akiwa na uzito mkubwa
Post hii inahusu zaidi sababu mbalimbali za mtoto kuzaliwa akiwa na uzito mkubwa, mara nyingi tatizo hili uwakumba akina mama mbalimbali ambapo mtoto uzaliwa akiwa na uzito mkubwa Soma Zaidi...

image Mwanamke anatema mate mara kwa mara je inaweza kuwa ni ujauzito?
Ni kweli kuwa kutema mate mara kwa mara inaweza kuwa ni dlili za ujauzito. Lakini itambulije kuwa pekee sio kithibitishi cha ujauzito. Soma Zaidi...

image Mambo yanayosababisha nguvu za kiume kupungua
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Dalili pamoja na mambo yanayosababisha nguvu za kiume kupungua kwa Wanaume Soma Zaidi...

image Mimba kutoka kabla ya umri wake
Posti hii inahusu zaidi kuhusu kwa mimba kutoka kabla ya mda wake,ni kitendo ambacho mimba utoka kabla ya wiki ishilini na na nane. Soma Zaidi...

image Mimi ni mama ninaye nyonyesha toka nimejefunguwa sijawai kuziona siku zangu lakini nilipo choma sindano za yutiai nikaaza kutokwa na tamu kama siku tano na mwanangu ana mwaka moja je ninahatali ya kubeba mimba
Kunyonyesha ni moja katika njia za asili za kuzuia upatikanaji wa miba nyingine. Hata hivyo hii haimaanishi kuwa huwezi kupata mimba ukiwa unavyonyesha. Soma Zaidi...

image Fahamu mapacha wanavyounganishwa.
Mapacha walioungana ni watoto wawili wanaozaliwa wakiwa wameunganishwa kimwili. Mapacha walioungana hukua wakati kiinitete cha mapema kinapojitenga na kuunda watu wawili. Ingawa vijusi viwili vitakua kutoka kwa kiinitete hiki, wataendelea kushikamana mara nyingi kwenye kifua, fupanyonga au matako. Mapacha walioungana wanaweza pia kushiriki kiungo kimoja au zaidi za ndani. Mapacha wengi walioungana huzaliwa wakiwa wamekufa au hufariki muda mfupi baada ya kuzaliwa.Mapacha wengine walio hai walioungana wanaweza kutenganishwa kwa upasuaji.Mafanikio ya upasuaji wa kuwatenganisha mapacha walioungana hutegemea mahali pacha hao wameunganishwa na wangapi na viungo gani vinashirikiwa, pamoja na uzoefu. na ujuzi wa timu ya upasuaji. Soma Zaidi...

image Mabadiliko ya via vya uzazi kwa Mama mjamzito.
Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye via vya uzazi kwa wajawazito, tunajua kuwa Mama akibeba mimba tu kuna mabadiliko utokea katika sehemu mbalimbali za mwili. Soma Zaidi...

image Nguvu za kiume Ni nini?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana ya nguvu za kiume Soma Zaidi...

image Nahitaji kufaham siku ya kumpatia mimba make wangu, yeye hedhi yake ilianza talehe22
Je na wewe ni moja kati ya wake ambao wanahitajivkujuwa siku za kupata mimba. Ama siku za competes mwanamke mimba. Post hii ni kwa ajili yako. Soma Zaidi...