Jifunze mengi kuhusu afya na lishe, ujuwe utaratibu wa lishe
Utangulizi
Karibu kwenye ukurasa huu wa utaratibu wa lishe. katika ukurasa huu utaweza kujifyna mambo kadhaa ambayo
ni muhimu kuyajua ili kuweza kupamba na na matatizo yanayotokana na mpangilio mbovu wa lishe.
Pia ijulikane luwa mwendelezo wa somo hili utapatikana kwenye kitabu chetu cha afya ambacho utaweza kukidownloada kwenye link hapo pembeni, Somo hili tumeligawa katika sehemu kadhaa ili kuwezesha wasomaji kuwapa wepesi zaidi.
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi madhara mbalimbali ambayo yanaweza kutokea kwa watu wasiofanya mazoezi, mazoezi ni kama tiba kwa namna Moja au nyingine ila Kuna madhara ambayo yanaweza kutokea kwa wale ambao hawafanyi mazoezi.
Soma Zaidi...Ndoto ni moja ya mamba ambayo yanatokea mwanadamu na sayansi haina uelewa hasa nini hutokea. Hata hivyo yapo machache tafiti za kisayansi zinatueleza.
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Dalili za hatari kwa aliyefanyiwa upasuaji, tukumbuke kuwa mtu aliyefanyiwa upasuaji anakuwa kwenye riski sana ya kupata magonjwa na mambo mengine mbalimbali kwa hiyo kuna dalili zikijitokeza kwa mgonjwa aliyepasuliwa Zinapaswa kuf
Soma Zaidi...Maana ya afya ni pana sana tofauti na vile ambavyo sisi tunajuwa. Afya inahusisha mambo mengi sana.
Soma Zaidi...