Maambukizi kwenye mrija wa mkojo(urethritis )
Posti hii inahusu zaidi maambukizi kwenye mrija wa mkojo, maambukizi haya usababishwa na virusi na bakteria.
Dalili za maambukizi kwenye mrija wa mkojo
1. Maumivu makali wakati wa kujamiiana. Hii utokea kwa sababu ya maambukizi kwenye mrija
2. Kutoka uchafu kwenye mrija wa mkojo. Kwa sababu ya maambukizi kwenye mrija ambapo bakteria waharibifu utafuna mazingira yaliyo kwenye mrija
3. Kikohoa damu mara kwa mara
4. Kuwasha katika sehemu za uume, inawezekana ikawa nje au ndani
5. Kikohoa sana, hasa utolewa wakati wa mwanzoni maambukizi yanapotokea.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
๐1 kitabu cha Simulizi ๐2 Madrasa kiganjani ๐3 Kitau cha Fiqh ๐4 Kitabu cha Afya ๐5 ai web app ๐6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Athari za ugonjwa wa Dondakoo
Posti hii inahusu zaidi athari za ugonjwa wa Dondakoo,hali hii utokea iwapo ugonjwa haukutibiwa mapema au umetibiwa lakini bado Kuna matokea hasi ambayo yanaweza kujitokeza kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Akili kuchoka na kushindwa kufanya maamuzi (Decision fatigue).
โMuhtasari โKatika maisha ya kisasa yenye changamoto nyingi, kila siku tunafanya maelfu ya maamuzi, kuanzia yale madogo kama "nivae nini?" hadi makubwa ya kikazi na kifamilia. Hali hii ya kufanya maamuzi mengi mfululizo husababisha hali inayofahamika kama Decision Fatigue (uchovu wa maamuzi). Makala hii inachambua kisaikolojia jinsi hali hii inavyoathiri tija yako, afya ya akili, na inatoa mbinu za kisayansi za kupunguza athari zake ili uweze kufanya maamuzi bora kila siku.
Soma Zaidi...Makosa Yanayofanywa na Wapenzi Wengi
Mahusiano ni safari ya kujifunza kila siku. Makala hii inachambua makosa ya kawaida yanayoweza kuathiri ustawi wa mahusiano, ikitoa mwongozo wa jinsi ya kuyatambua na kuyafanyia kazi ili kujenga uhusiano imara na wenye furaha.
Soma Zaidi...Fahamu Ugonjwa wa kifua kikuu kwa watoto chini ya miaka mitano
Posti hii inaonyesha mambo mbalimbali yanayoweza kusababisha Ugonjwa wa kifua kikuu kwa watoto chini ya miaka mitano.
Soma Zaidi...Makundi yaliyo katika hatari ya kupata Ugonjwa wa ngiri.
Posti hii inahusu zaidi makundi ambayo yapo katika hatari ya kupata ugonjwa wa ngiri, ni hatari kwa sababu tunajua kuwa ngiri utokea kwa sababu ya kuta au tishu zinazoshikilia viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwepo kwa uwazi na kufanya viun
Soma Zaidi...