Posti hii inahusu Maambukizi kwenye tumbo na kwenye utumbo mdogo,ni Maambukizi ambayo uwa kwenye tumbo na utumbo mdogo.
Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo.
1.kwanza kabisa utumbo mdogo na tumbo kama kuna Maambukizi mgonjwa uhisi kichefuchefu na hatimaye kutapika hali hii utokea kwa sababu ya kuwepo kwa bakteria au virusi ambao usababisha maambukizi.
2.Dalili nyingine ni pamoja na kuharisha hata kaharisha damu kama maambukizi ni makubwa mno kwa hiyo tunapaswa kugundua kubwa maambukizi kama ni makubwa mgonjwa anapaswa kufikishwa hospitalini mara moja.
3.Dalili nyingine ni pamoja na maumivu chini ya tumbo, haya Maumivu uendana na kusokotwa kwa tumbo hii hali inaweza kudumu kwa mda kama hakuna kupona au nafuu yoyote mgonjwa anapaswa kupelekwa hospitalini mara moja.
4.Dalili nyingine ni kutapika nyingo
Hali hiii utokea pale mtu anapotapika na kumaliza kila kitu hatimaye anaweza kutapika hata nyongo kwa hiyo tunapaswa kuwahudumia mara moja wale wanaoonyesha dalili za hatari za kutapika.
5.Kwa hiyo tunapaswa kufahamu kutapika na kuharisha ni hatari kwa mgonjwa hasa kwa watoto hali hii ikitokea mgonjwa anapaswa kupelekwa hospitalini mara moja ili kuepuka hali ya kuishiwa kwa maji kwa hiyo kuishiwa maji ni hali ya hatari kwa maisha ya mwanadamu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Hapautajifunza rangi kuu za mkojo na dalili zako kiafya, mkojo mchafu na dalili zake
Soma Zaidi...Je unasumbuliwa na maumivuvya tumbo chini ya kitovu upande wa kushito. Post hii itakuletea sababu za maukivubhayo na nini ufanye.
Soma Zaidi...Minyoo ni katika viume wanyonyaji, wanaoishi katika miili ya viumbe hai na kujipatia chakula humo. Minyoo wanaweza kuishi kwenye maeneo yenye majimaji kama kwenye maji, ndani ya viumembe hai kama mtu, ngombe, ngure na paka. Minyoo pia wanaweza kuishi kwen
Soma Zaidi...Kisukari cha Aina ya 2, ambacho wakati mmoja kilijulikana kama Kisukari cha watu wazima au kisichotegemea insulini, ni ugonjwa sugu unaoathiri jinsi mwili wako unavyobadilisha sukari (glucose), chanzo muhimu cha nishati ya mwili wako.
Soma Zaidi...Anemia ya upungufu wa vitamini ni ukosefu wa seli nyekundu za damu zenye afya unaosababishwa na kiasi kidogo cha vitamini fulani kuliko kawaida.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia sababu zinazopelekea kuumwa na kifua.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi maambukizi kwenye mrija wa mkojo, maambukizi haya usababishwa na virusi na bakteria.
Soma Zaidi...Zijuwe sababu kuu zinazokufanya ukahisi maumivu makali ya tumbo kwa chini upande wa kushoto
Soma Zaidi...