Posti hii inahusu athari za maambukizi ya magonjwa ya ngono ambapo magonjwa ya ngono isipokuwa UKIMWI yanatibika .mgonjwa anashauriwa kuwahi hospitali au kituo chochote cha afya kupata matibabu mara anapoona dalili za magonjwa haya.
ZIFUATAZO NI ATHARI ZA MAAMBUKIZI YA MAGONJWA YA NGONO. 1. kutokana na mwanzo tulivyoeleza kwamba kuna athari zinazopelekea maambukizi ya magonjwa ya ngono katika jamii kuna athari ya kuziba kwa njia ya mkojo kwa mwanaume,na pia kuziba kwa mirija ya kupitishia mayai hivyo mimba kutunga nje ya mimba athari hizo usababisha ugonjwa unaitwa ,kisonono,
2.pia kuna huharibifu sehemu za ndani za mwili kama vile moyo na akili pia huweza kusababisha kifo kwa mwanadamu ambapo zunaweza kupoteza nguvu kazi ya taiga pia athari nyingine kunyonyoka nywele ugonjwa unaoleta athari hii ni kaswende ,
3.athari zingine pia kuna kudhoofika kwa mwili na kupungua kwa kinga ya mwili,na huweza kusababisha magonjwa nyemelezi na hatimaye kifo athari hii uletwa na ugonjwa wa UKIMWI
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Hapa utajifunza sababu za kuwepo na maumovu ya tumbe kitomvuni.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna ya kumsaidia mgonjwa aliyepungukiwa na damu kwa sababu ya minyoo.
Soma Zaidi...Hivi umeshawahikujiuliza kuhusu tezi dume. Wacha nikujuze kitu kimoja, ni kuwa tezi dume huwapata watu kuanziamiaka 40 na kuendelea. Na ifahamike kuwa tezi dume sio busha ama ngiri maji. Pia itambulikekuwa rozi dumehutibika.
Soma Zaidi...Hapautajifunza rangi kuu za mkojo na dalili zako kiafya, mkojo mchafu na dalili zake
Soma Zaidi...Posti inazungumzia Ugonjwa kwenye fupa nyonga ambapo kitaalamu hujulikana Kama {Pelvic inflammatory (PID) ni maambukizi ya viungo vya uzazi vya mwanamke.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi matibabu ya vidonda vya tumbo nyumbani, ni njia ya kawaida ya kujitibu vidonda vya tumbo kama tulivyoona.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi hatua au mbinu za kupambana na ugonjwa wa UTI kwa sababu ugonjwa huu umekuwa tishio kubwa kwa sasa kwa hiyo tunapaswa kutumia njia mbalimbali ili kuweza kupambana na Ugonjwa huu.
Soma Zaidi...Jipu la jino ni mfuko wa usaha unaosababishwa na maambukizi ya bakteria.
Soma Zaidi...Fangasi huweza kuishi na kuathiri maeneo mbalimbali ndani ya mwili.
Soma Zaidi...Huu ni ugonjwa wa fangasi wanaosababishwa na mashambulizi ya fangani aia ya yeast waitwao candida.
Soma Zaidi...