Qalqala imegawanyika katika makundi mawili ambayo ni Qalqalatul qubra yaani qalqala kubwa na qalqalat as shughura yaani qalqala ndogo.
HUKUMU ZA QALQALA
QALQALAH – KUGONGA
Katika hukmu ya Tajwiyd, ni mgongano wa kutetema unaosababishwa na herufi maalum za qalqalah zinapokuwa na sukuwn1, aidha iwe ya asili au ya kuzuka kwa ajili ya kusimama. Herufi za qalqala ni قُ طْ بُ جَ دّ.
Qalqalah inagawanyika katika daraja mbili: الْقَلْقَلَةُ الْكُبْرى . 1 Al-Qalqalatul-Kubraa -Qalqalah Kubwa Inapokuwa herufi ya qalqalah mwisho wa neno lenye kusimamiwa.
الْقَلْقَلَةُ الصُّغْرى . 2 - Al-Qalqalatus-Sughraa - Qalqalah Ndogo Inapokuwa herufi ya qalqalah katikati ya neno au mwisho wa neno lakini si neno lenye kusimamiwa.
Umeionaje Makala hii.. ?
Makala hii itakwenda kukufundisha sababu za kushuka kwa alam nasharah yaani Surat Ash sharh.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza kanuni za tajwid katika kusoma bismillah au basmalah.
Soma Zaidi...Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Hapa utajifunza usomaji wa Quran pindi utakapokuta nuni yenyebsakina au tanwin
Soma Zaidi...