Maana ya qalqala na aina zake katika usomaji wa Quran tajwid
Qalqala imegawanyika katika makundi mawili ambayo ni Qalqalatul qubra yaani qalqala kubwa na qalqalat as shughura yaani qalqala ndogo.
HUKUMU ZA QALQALA
QALQALAH – KUGONGA
Katika hukmu ya Tajwiyd, ni mgongano wa kutetema unaosababishwa na herufi maalum za qalqalah zinapokuwa na sukuwn1, aidha iwe ya asili au ya kuzuka kwa ajili ya kusimama. Herufi za qalqala ni قُ طْ بُ جَ دّ.
Qalqalah inagawanyika katika daraja mbili: الْقَلْقَلَةُ الْكُبْرى . 1 Al-Qalqalatul-Kubraa -Qalqalah Kubwa Inapokuwa herufi ya qalqalah mwisho wa neno lenye kusimamiwa.
الْقَلْقَلَةُ الصُّغْرى . 2 - Al-Qalqalatus-Sughraa - Qalqalah Ndogo Inapokuwa herufi ya qalqalah katikati ya neno au mwisho wa neno lakini si neno lenye kusimamiwa.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 ai web app 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Tafsiri na mafunzo ya sura zilizochaguliwa - Saratul-fiyl
Quran (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Quran si Mashairi kama wanavyodai makafiri
(i)Dai kuwa Qur-an ni Mashairi aliyotunga Muhammad (s.
Soma Zaidi...Sababu za kshuka surat al Asr
Sura hii ni katika sura za kitawhidi sana. Maulamaa wanasema inatosha sura hii kuwa ni mawaidha. Imamu sharifu anasema kuwa sura hii inatosha kuwa muongozo…
Soma Zaidi...quran tahadhari
TAHADHARI KWA WASOMAJI WA QURAN Wasomaji wa qurani wawe na tahadhari katika usomaji wao.
Soma Zaidi...