MAANA YA UISLAMU.


image


Kwenye kipengele hichi titajifunza maana ya uislamu,na maana nyingine tofauti.


  • Maana ya Al-Islam (Uislamu).

Al-Islam - ni jina la Dini ya Allah (s.w) lenye maana zifuatazo:

  1. Mwenendo mwema au kujisalimisha moja kwa moja au kutii kwa unyenyekevu sheria, maagizo au maamrisho ya Muumba.

 

- Uislamu ni utaratibu wa maisha unaofuata bara bara mwongozo wa Allah (s.w)  na Sunnah ya Mitume wake.

Rejea Qur’an (3:83), (30:30).

 

2.Ni neno lenye maana ya ‘salama’ kwa maana ya amani.

-  Uislamu ni dini ya amani.

-  Ni utaratibu wa maisha unaoendeshwa kwa kujisalimisha kwa Allah (s.w) kwa kufuata kikamilifu sheria zake.

 

-  Ni utaratibu (mfumo) pekee ndio unaoweza kuleta furaha na amani ya kweli kwa maisha ya binfsi ya kijamii pia.

 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    2 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    4 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya html kwa kiswahili    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Mafunzo yatokanayo na mkataba wa aqabah katika kuandaa ummah
Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Zoezi
Maswali mbalimbali yanayohusu elimu ya dini ya kiislamu na mwongozo wa elimu na elimu mazingira. Soma Zaidi...

image Kutoa zakat
Nguzo za uislamu (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Saumu (funga)
Nguzo za uislamu (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Makundi ya dini za wanaadamu
Kwenye kipengele hichi tutajifunza makundi ya dini za watu. Na makundi hayo ni matatu. Soma Zaidi...

image Wanaowajibika kuhijji
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Taasisi za kisiasa za msingi alizotumia mtume (s.a.w) katika kuanzisha dola ya kiislamu madinah
Dola ya kiislamu madinah (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Kuandaliwa kwa Muhammad wakati na baada ya kupewa utume
Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Maana ya Elimu katika uislamu na nani aliye elimika?
Hili ni swali kutoka katika maarifa ya elimu ya dini ya kiislamu kidato cha kwanza (EDK FORM 1) Soma Zaidi...

image Mgawanyo wa elimu usiokubalika katika uislamu
Mgawanyo wa elimu usiokubalika katika uislamu Ni upi? (EDK form 1: mgawanyo wa elimu usiokubalika katika uislamu) Soma Zaidi...