image

Mabadiliko kwenye mfumo wa chakula kwa wajawazito.

Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye mfumo wa chakula kwa wajawazito, ni mabadiliko ambayo utokea kwa wajawazito hasa kwenye mfumo wa chakula.

Mabadiliko kwenye mfumo wa chakula chakula kwa wajawazito.

1.Wajawazito wengi huwa wanahisi kichefuchefu na kwa wakati mwingine kutapika hali hii utokea kwenye wakati wa kwanza wa mimba hali hii usababishwa na kubadilika kwa homoni zinazohusiana na uzazi.

 

2.Wakati mwingine Mama uhisi kiungulia wakati wa ujauzito hali hii nayo usababishwa na homoni kwa hiyo Mama anapaswa kutumia dawa za kupunguza kiungulia hali hiyo inaweza kuwepo kwa mda na baadae upotea.

 

3 . Kinyesi cha Mama kubwa kigumu.

Kwa kawaida wanawake wengi Upata tatizo.hili mar kwa mara kwa hiyo tunapaswa kuwapatia maji ya kunywa, matunda,na mboga za majani pamoja na vitu vingine ambavyo Usababisha kinyesi kuwa kilaini.

 

4.Pengine wajawazito utamani vyakula ambavyo huwa havina faida yoyote mwilini kama vile ulaji wa pemba, mkaa na mawe kwa sababu ya kuwepo kwa ujauzito mama utamani vitu vya aina hiyo lakini akijifungua hawezi tena kutamani vitu vya namna hiyo.

 

5.Kwa wanawake wengine wanakuwa na tabia ya kutema mate ovyo ovyo hii ni kwa sababu ya kuzalishwa na mate mengi mdomoni yanayosababishwa na homoni zinazohusika na mfumo wa uzazi kwa ujumla.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 925


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Simulizi za Hadithi Audio     👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉5 Kitau cha Fiqh     👉6 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

DALILI ZA TEZI DUME
Tezi dume hii ni tezi inayopatikana katika katika mfumo wa uzazi wa mwanaume Ila hujulikana kama PROSTATE GLAND. pia hukua karibu na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo hutumika kuzalisha majimaji (simen) yanayobeba mbegu hivyo bas mk Soma Zaidi...

Nguvu za kiume Ni nini?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana ya nguvu za kiume Soma Zaidi...

Jifunze kuhusu Protini, Fati, Wanga na kazi zao mwilini na vyakula vinavyopatikaniwa kwa wingi
Soma Zaidi...

Dalili za Ujauzito mchanga Siku Saba Baada ya Ovulation
Unaweza kujiuliza ikiwa inawezekana kupata dalili za ujauzito mchanga kama siku 7 baada ya kudondoshwa kwa yai (DPO yaani Days Past Ovulation). Soma Zaidi...

Changamoto za ujauzito
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu changamoto za ujauzito na dalili zake endelevu Soma Zaidi...

Vipimo muhimu kabla ya kubeba mimba
Posti hii inahusu zaidi vipimo muhimu kabla ya kubeba mimba,ni vipimo vya moja kwa moja kutoka maabara na vingine sio vya maabara. Soma Zaidi...

Mimba iliyotungia nje, sababu zake na dalili zake. Nini kifanyike kuizuia?
Mimba hatari iliyotungia nje ya mji wa mimba, ni zipi dalili zake na ni kivipo mimba inatungia nje? Soma Zaidi...

Dalili za mimba changa
Zijuwe dalili 17 za mimba na mimba changa, kuanzia siku ya kwanza mpaka mwezi mmoja Soma Zaidi...

Nina vidonda kwenye uume wangu, je ni dalili ya nini?
Soma Zaidi...

Je dalili ya kuuma tumbo huanza baada ya wiki ngapi Toka mwanamke apate ujauzito?
Maumivu ya tumbo ni moja katika dalili za ujauzito. Maumivu wanawake wengi hushindwa kujuwa kuwa ni ujauzito ama laa. Na hii ni kwa sababu kwa wanawake wengi maumivu ya tumbo ama changu ni jalivya kawaida kwao. Soma Zaidi...

Madhara ya kufanya tendo la ndoa na mwanamke akiwa katika siku zake.
Tendo la ndoa wakati wa siku za hedhi ni halia mbayo jamii nying zinakataza. Katika vitabu vya dini pia haviruhusu, hata ki saikolojia utaona kuwa sio jambo jema. Hata hivyo hapa ninakuletea madhara yake kiafya Soma Zaidi...

Huduma kwa mwenye maumivu ya tumbo la hedhi
Posti hii inahusu msaada kwa mwenye maumivu ya tumbo la hedhi, hizi ni huduma ambazo utolewa kwa wale wenye maumivu ya tumbo la hedhi. Soma Zaidi...